Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,891
Kwenye ile kashfa ya Richmond, CAG alisema lowassa ameiba sh ngapi? Mbona sasa tusimjadili huyu magufuli ambae ni mwizi na CAG ameshatoa ripoti yake kuwa bilion 262 ameiba. Au hizi sio hela jaman?Hii ni nchi ndugu yangu. Haijaribiwi kwa benefit of doubt. Who will be his victim? Thought of Mwakyembe, Sitta or common wananchi. Lowassa anatakiwa aanze kuyajibu maswali yetu na anafaham wenye mashaka kwanini hawataki kumchagua. Anafaham uchafu wa nchi hii kwa sababu alikuwa ndani ya mfumo. Asimame na aanze kutueleza uchafu ule na namna ya kuusafisha kama anauwezo huo. CCM wanamfaham vilivyo akifungua mdomo wake watamueleza kila lililo lake. Baada ya miezi 3 kama atashindwa uchaguzi, Lowassa atakubali historia imuandike kwamba alikufa amevaa gwanda?
Multiple id's za Lumumba hizi baada ya tsunami wamekuja kivingine kutetea uovu wa miaka zaidi ya hamsini
Hahaaaa mafuriko hatari sana imebidi wazitupe kule waje kivingine.Bora umelishtukia hilo maana zile id maarufu humu za Lumumba ziko ICU wamekuja kivingine.
Katika mkutano wa kihistoria, mh" rais mtarajiwa amesema JK ameharibu uchumi, watu weng wamekua maskini, bidhaa juu, hoi
Katika mkutano wa kihistoria, mh" rais mtarajiwa amesema JK ameharibu uchumi, watu weng wamekua maskini, bidhaa juu, hoi
2years on jk govt,
can you....add into uozo
Bora umelishtukia hilo maana zile id maarufu humu za Lumumba ziko ICU wamekuja kivingine.
Lumumba wanachungulia chungulia tu! Chezea nyomi ya jana wewe!
Katika mkutano wa kihistoria, mh" rais mtarajiwa amesema JK ameharibu uchumi, watu weng wamekua maskini, bidhaa juu, hoi
Ooh yes very possible
In fact, I am shocked why is Lowasa criticizing the Government at this time.
He was a Member of Parliament for over eight years after his resignation. He didn't challenge or condemn the government,then why is he contradict himself?
I am sure Tanzanians are too smart for that trap.