Tata madiba una hatare ya kupata ugonjwa wa kichaa kwa sababu kila siku unafikiria njia gani ya kumchafua EL itakuathiri kisaikolojia hata magonjwa ya pressure,sukari yanaweza kukunyemelea..cha msingi focus na magufuri tu ....
Badala ya kumnadi MAGUFULI wenu mnabakia kumpigia "Promo" LOWASSA, ambaye tayari hana haja ya Kampeni, anasubiri mafuriko ya kura na kuapishwa! Sijui ni nani aliyewaloga!
Badala ya kumnadi MAGUFULI wenu mnabakia kumpigia "Promo" LOWASSA, ambaye tayari hana haja ya Kampeni, anasubiri mafuriko ya kura na kuapishwa! Sijui ni nani aliyewaloga!