Wakuu,
Kuna hii video ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ricmond ikisambaa kwenye WhatsApp,akifanya zoezi kudhihirisha yupo fiti.
Pamoja na kwamba nia ya video ilikuwa kujibu mashambulizi video inaonyesha huyu mheshimiwa ni mgonjwa kweli.
Sikujua kumbe hata kutembea haraka hawezi,kuchezesha mikono kwa haraka hawezi.
Ni vizuri huyu mheshimiwa apumzike ahudhurie matibabu kuliko kijiongezea stress na kufukuzana na vijana Kama kina nape,hivi akipitishwa atazungukaje nchi nzima na kuongea yenyewe shida?
Kama anajali maslahi yake ni heri atafute mtu kutoka kwenye kambi yake atagaze nia ili kulindiwa maslahi yake.