Lowassa katika ubora wake leo asubuhi


Afadhali wewe unajitambua kuwa ni mafisadi na mnalindwa na dola but mwisho wenu october kitaeleweka.
 
Lowasa is a very very very major pain in somepeople's asssesss
 
Mwaka huu n mpela mpela mpk october mcpokimbia nchi mwaka huu cjui aisee, maana lowassa ndo yupo ktk ubora wake aisee yan hakamatik mwaka huu ktk mbio za Urais
 
Yuko wapi yule kijana wa juzi aliyesema lowasa mgonjwa aje ona mtu anavyokata upepo huku,na mwaka huu mtatafuta msitu tuu
Hebu iangalie vizuri hiyo picha utaona waliokaribu nae wanakimbia katika mtindo wa "hapa akidondoka nitawahi kumdaka" yaani kama vile mtu na mwanawe anayejifunza kutembea
 
Mlisema anaumwa hawezi kutembea leo anakata upepo kama bale unatuambia urais sio mazoezi..lowassa ni mwanaharakati lazma mjitundike mwaka huu!
Kwa wapenzi wa MUVI huwa inanoga sana ukiangalia pia "behind the scene" ya muvi husika.......najiuliza nyuma ya pazia ya hiyo picha ya jogging, siku kabla ya jogging daktari anacheki vital sign, blood sugar,etc..kisha ana-oder dawa fulani apewe dozi ya juu kidogo, na maelekezo mengine mf, ukisikia kichefuchefu piga 999, hahahahaha nataniatu ili kukamilisha igizo!
 
Waliosema anaumwa ...haya ! Alikua na mafua sasa amepona . Yuko fit!
Kama kipimo cha afya ni lazima kwa wagombea Urais Lowasa anavyo 3 . Anacho cha Dactari kwamba yuko fit. Pili ; Amewashinda wengi 'vijana' ktk mbio ... Tatu; Na pia anacho 'kibali' Chetu wananchi kuthibitisha ubora wa afya yake....
Ukimwona Lowasa mwambie 'atapata kutoka kwangu 'KURA YANGU NA ZA MARAFIKI ZANGU'
 
nasikia chama chake kita mpiga marufuku kukimbia hadharan!
 
Hahaaa....lowasa anawatoa mapovu wenzie aisee
sasa kama mnajua amefisadi mbona hamjawahi kumshtaki mahakaman? Na kama anavunja kanuni na taratibu za chama mbona hamumchukulii hatua? Tatizo lenu hamuwez kufanya maamuzi magumu mnaishia kulalamikiana wenyewe kwa wenyewe tuuu
Kama ufisadi ndani ya ccm umejaa tele wala hakuna asiyejua....kwann mumsingizie lowasa?
muacheni baba wawatu aingie magogoni awakimbize viongoz wazembe mnaosema anawaonea
kamata fursa twenzetu baba lowasaaaaa.....tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…