Lowassa katika kashfa nyingine

Lowassa katika kashfa nyingine

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00610.jpg
 
Hao akina ulimwengu ndio watu wa twaweza unategema zuri gani kwao
 
Lowasa! Mabadilikoooooo! Mabadiliko! Lowaaaaaaaaaaa!!!!

Kura zetu kwa Lowasaaaaa
 
Kura zetu akina nani ???sema kura yako sio wote kk
 
Mwehu unamjua? tuliza kidude ikuingie sawia dada
 
Sample representatives ya makada 148 wa CCM ndo inatumika kama mawazo ya Watanzania? Ama kweli elimu yetu haina maana Duniani ...
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaukata kwa kusemq ati hao wamehongwa pesa.
 
Only two things are infinite, the universe and human stupidity, and I'm not sure about the former.
Albert Einstein

Ni ujinga kuamini kuwa CCM itakuletea mabadiliko chanya baada ya miaka 54 ya kuuza rasilimali za nchi ....
 
lowasa keshawajibu hili kama ranch ni zake wakagawane wanasuburi nini pelekeni siasa za kale kuleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom