Lowassa kama Yesu, sasa kuleta Ukombozi rasmi

Lowassa kama Yesu, sasa kuleta Ukombozi rasmi

Alaaniwe anayekataa Lowassa hayuko kama Yesu... sbb Mungu kamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake...

Lowassa kama Yesu, kwa mateso aliyopitia, na bado anatupenda, na atakuja kutuokoa muda si mrefu...Amen
 
hahahaha, mbona wapo watu wengi tu wanaitwa Yesu. Ndiyo maana kwenye biblia anaitwa "Yesu wa Nazareti".

Jesus-Navas.jpg

Huyo mchezaji anaitwa Jesus Navas
Daaah!!!
 
Lowassaaaaaa, kila la kheriiii babaaa

✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

Naamini ni dhahiri lengo lake ni kupata madaraka ya uraisi na sio kuwatumikia watz mtu huyu kwenye kiburi kilichopitiliza mtamthibitije na mtamuaminije hajawahi kujitetea kwa kashfa zinazomkabili nini tafsiri ya hili? Je? siku moja hatawageuka na kutishia kuondoka na utitiri wake? Je mtatuambiaje ni msafi kisa serikali haijamshtaki na mnajua dhahiri serikali yetu ni udhaifu kama mlivyokuwa mnasema kule mjengoni? Basi kama hicho ndo kipimo tukubaliane hata wale wote mnaowanyoshea vidole ni wasafi. Je wanasheria wenu watasimama kutetea endapo serikali ijayo itamshataki?? Ama nyie mtamtetea kupitia media

Nionavyo, endapo italazimu huyu ndugu kujiunga apewe masharti moja siku atakapojitangaza atangaze ni kwa vipi hajahusika ktk tuhuma anazotajwa pili awe tayari kutoa ushirikiano ktk kufichua na kupambana na uovu wa serikali ikiwemo rushwa na mengineyo naamini walau wadau wa cdm watafungua mioyo kumpokea
 
Alaaniwe anayekataa Lowassa hayuko kama Yesu... sbb Mungu kamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake...

Lowassa kama Yesu, kwa mateso aliyopitia, na bado anatupenda, na atakuja kutuokoa muda si mrefu...Amen
Kwa hiyo amerudi kwa umbo la kimasai.
 
Dr.W.Slaa mtoe Lowassa kwenye hii list yako ya Mafisa sasa ni kama Yesu amekuja kwa umbo la kimasai.

TUJIKUMBUSHE ORODHA YA 20071. Dr. Daudi T.S. Balali2. Andrew J. Chenge3. Basil Pesambili Mramba4. Gray S. Mgonja5. Patrick P.R Rutabanzibwa6. Nazir Karamagi7. Nimrod Mkono8. Rostam Aziz9. Edward Lowassa10. Benjamin W. Mkapa11. Jakaya Mrisho Kikwete-.

Tutasikia mengi sana kuelekea kwenye uchaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Alaaniwe anayekataa Lowassa hayuko kama Yesu... sbb Mungu kamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake...

Lowassa kama Yesu, kwa mateso aliyopitia, na bado anatupenda, na atakuja kutuokoa muda si mrefu...Amen

Siku ya Kumsulubu utamsaidia?
 
Yaaani huko Arachuga, Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Songea, Loliondo, Tanga, Moro, Kigoma, Moshi, Mtwara, Iringa, Dodoma, Singida...Tabora...Dar...Katavi..Zanzibar.
..ni shangwe tupuuuu, kimenukaaaa, ni furahaaa tu leo..hakuna kulalaaaa..yaani jamani Lowassa anapendwa hadi na UVCCM....maana naona UVCCM kibaoooo wameungana na BAVICHA kucheza pamoja...yaani ni cherekoo, vifijooo....

Naambiwa kila mtaa wana ruka ruka...aiseee hadi boda bodaaa..kila kona...jamaniiiii....uuuwiiiiii....

Lowassa kama Yesu...duuuhh
 
Madabida alishasema Lowassa ni sawa na Mtume Muhammed S.A.W, na wewe unasema Lowassa ni sawa na Yesu basi Lowasa ni balaa. Kama ananfananishwa na hayo majina makubwa kuwahi kutokea duniani, anatisha.
 
Bahati yako sikukuona ukitamka maneno hayo. Yule mwenzio aliye mfananisha na nabii si uliona alivyo furumishwa na kuamriwa ayale maneno yake?? Acha za kuleta hizo. Naipenda sana UKAWA lakini ukimfananisha mtu yeyote na Yesu, nachukiiiiiyaaa yani baasi tu.
Yesu ni Mungu, Yesu aliukomboa ulimwengu, nioneshe sifa mojapo ya Lowasa hata umlinganishe na Mungu wangu. Ptuuu
 
Madabida alishasema Lowassa ni sawa na Mtume Muhammed S.A.W, na wewe unasema Lowassa ni sawa na Yesu basi Lowasa ni balaa. Kama ananfananishwa na hayo majina makubwa kuwahi kutokea duniani, anatisha.

Yaani Lowassa kafanya haya fastaa..maajabu...

UVCCM na BAVICHA sasa ni ndugu...wanamuunga mkono Lowassa

Wana CCM mamilioni wanaungana na UKAWA... wanamuunga mkono Lowassa

Wafanyakazi, bodaboda, wafugaji,.machinga, wakulima, wanavyuo, waalimu, maaskofu,.masheikh, waislam, wakristo, wasio na dini, albinos, wanaungana na kuwa kitu kimoja...huu ni ukombozi...sijawahi ona....haki ya Mungu

Yaani Tanzania Mpyaaa..naionaaaa..ileeeeeee..ileeeee....
 
Yaaani huko Arachuga, Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Songea, Loliondo, Tanga, Moro, Kigoma, Moshi, Mtwara, Iringa, Dodoma, Singida...Tabora...Dar...Katavi..Zanzibar.
..ni shangwe tupuuuu, kimenukaaaa, ni furahaaa tu leo..hakuna kulalaaaa..yaani jamani Lowassa anapendwa hadi na UVCCM....maana naona UVCCM kibaoooo wameungana na BAVICHA kucheza pamoja...yaani ni cherekoo, vifijooo....

Naambiwa kila mtaa wana ruka ruka...aiseee hadi boda bodaaa..kila kona...jamaniiiii....uuuwiiiiii....

Lowassa kama Yesu...duuuhh

Sio vizuri kumfananisha na Yesu na hata yeye hatapenda hivyo. Angalau mfananishe na mjaluo Obama.
 
Lowassaaaaaa, kila la kheriiii babaaa

✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

kuweni makini na vichwa vyenu vya habari
 
Najiuliza, nani wa kumsaidia Magufuli kumpigia kampeni, maana Moto wa UKAWA + Lowassa, hawezi tena kushindana nao, ukweli uko wazi, Magufuli hataweza, ni ngumu, kadhashindwa tayari.... daahh
 
Back
Top Bottom