masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Katika siku za karibuni na kila tunapojongea kuelekea 2015, ndugu yetu Edward Lowassa, Mbunge, Mjumbe wa NEC sasa hivi ni kama Waziri Mkuu asiye na wizara maalum.
Lowassa is every where.
Makanaisani kwenye harambee
sasa hivi hata misikitini.
Matembezi ya hisani yupo
Akija kiongozi wa nje ,kama Obama naye yupo mstari wa mbele
Kutoa misaada katika harambee(ingawaje zimepugua siku hizi) yeye yupo.
Anafungua mikutano na kuwaasa wamachinga sehemu mbali mbali nchini
Sasa namuuliza katibu mkuu wa CCM , ndio tuseme Edward Ngoyai Lowassa kaanza kampeni rasmi?