Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

Mbona walisema ni "kapi"? sasa kapi linaundiwa team ya watu 32?

Hapo ndo ujue CCM ndo bye bye....Lowassa ana akili sana, wewe unawaza 1 yeye anawaza 100.....wenye akili watanielewa.
 
team yenyewe mbona wamechagua watu weak sana
 
Wasubiri tu, hawatakuja kuamini macho yao, Lowassa mpaka kuondoka CCM na kuingia CDM na kutangaza kugombea uras si kwamba yeye ni mjinga, CCM wanamuona kama mjinga fulani ila hawatakuja kuamini
 
Kwanza hapo wasitarajie mtu kama Mwakyembe au Sendeka au sijui nani kuzunguka na lowasa make hawa kwenye majimbo yao hawana uhakika wa kurudi Dodoma
 
Duh nikiingia huku jf napata Faraja juu ya EL but IG wasanii wote wanampromote Magufuli!😡😡
 
Sitta anajaribu kutunisha msuli hata hautuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…