Lowasa and kundi dogo sana ambalo nguvu yake kubwa(RA) ilishajivua gamba waliobaki nyuma yake ni walafi wanatafuna hela zake alizotuibia na wengine tunao humu JF, wenzake wana kundi kubwa japo hawana nguvu ya pesa lakini wanaweza kuwa strong na kummaliza kisiasa kwa urahisi sana. kikubwa anachotakiwa sasa hivi kufanya ni kutubu na kuomba msamaha kwa watanzania kwa kuwaibia mali zao na kuleta kampuni ya kitapeli ya Richmond/Dowans na kufanya tatizo la umeme kuwa kubwa zaidi na mgao usiokwisha