Lowassa hasafishiki


Kama kashindwa msaidie basi kujibu
 
Ushaambiwa..
1.neno "ufisadi" halipo kwenye vocab za Lowassa wala Ilani mpya ya chadema...
2. Kwa mara ya kwanza kwenye ulimwengu wa modern politics, chama cha upinzani kinakimbia midahalo na chama tawala....
I love my country, do you love yours?

CM iweje leo mnataka kupoteze muda wenzenu?
 
HATA CCM HAISAFISHIKI....

SASA NDIO MAANA LOWASSA ANATAKA KUSAFISHA UPINDAJI WA HAKI ZA RAIA ULO VUKA MIPAKA NAMNA HII YAANI MAHAKAMA HAZIKO HURU KABISA .

SASA WEWE ULOLETA MADA TUAMBIE CCM WATAJISAFISHAJE MBELE YA WAISLAM NAMNA HIII?


TAARIFA YA KESI YA SHEIKH PONDA TAREHE 4.9.2015 MOROGORO


"Kesi leo (jana) ilikuja kwa ajili ya kupangwa hukumu baada ya pande mbili jamhuri na mawakili Wa sheikh kutakiwa wote kwa pamoja kuwasilisha mahakamani hoja za majumuisho ya kesi final submissions ndani ya siku 21 kuanzia tarehe 7.8.2015 ambazo ziliisha tarehe 28.7.2015.
Mawakili Wa sheikh tulitii amri ya mahakama. Lakini upande Wa jamhuri haukufanya hivyo badala yake leo mawakili Wa jamhuri wameitaka mahakama iwape muda zaidi ili waandike hoja zao.
Baada ya mabishano mahakama imeahirisha kesi hadi tarehe 18.9.2015 ili kutoa uamuzi kama jamhuri iongezewe muda au la!!!"
 
Nadhan imefik mahali tuee makin san najiuliza ivi ni kwanin siku ya kuvunja bunge mwak huu na mkuu wa kaya akifungua hotuba kwa kutambua mchang wao mkubwa kwa taifa hili, aliwataj marais wote wastaafu na mawazir wakuu wote lakin alipotajwa lowasa bunge lilizizim kwa furaha isiyo kifani akiungwa mkono na wote walokuemo bungeni unadhan wale woteeee vichaaaaaaa, Leo katok ndo nongwa..... Sasa kwataarifa yen siri ya Richmond mkamuuliz jk yul alitolew kama mbuzi wa kafara ... Sie tumeamua kwenda na LOwassa
 

maswali ya kipuuzi...kwa busara zake za hali ya juu aliamua kuyapiga chini....!!!
 
Labda mbowe aanze kutumia hata gunzi kumsafißha make ngozi imegoma kutakata
 
Tuhuma za; Utajiri usiojulikana chanzo yeye, Ufisadi yeye, kukumbilia udini haraka ni yeye! Hafai kuwa kiongozi wetu.
 

Anayejenga zahanati ni wizara sio lowassa,ulitaka atumie mshahara wake kukujengea zahanati!!?? ! pili, Richmond hata wewe unajua ni ya nani acha ushambenga!
 

Hayo yote uliyoyasema kuhusu rasirimali ni sahihi. Kumbuka Lowasa kawa mwana ccm toka Enzi za TANU. Alileta mchango gani katika kunusuru rasirimali zetu? Leo ndo atazitumia vyema? Marekani ilikuwa inakumbwa na suala la ubaguzi (racism). Hawakutaka Rais tofauti na mzungu. Lakini upande wa vyama vikuu vya Democratic na Republican huwa vibapokezana kutawala bila shida. So mfano wako hauna mashiko na hakuna sababu ya kutuma ujumbe kwa watu 1000. Usipende ku quote kitu bila kujua mukutadha wa hiyo statement. Lowasa hakuna Mpya ni mchovu na hawezi kuleta mabadiliko kama alishindwa kuleta akiwa ccm kwa nyazifa alizoshika akaambukiwa kuwajibishwa kwa wizi.
 
Msafi ni nani sasa

Waulize CDM make ndo waliochora mstari wakatwambia fulani ndo wachafu inamaana sie tuliobaki nje ya mstari ni wasafi ..au unawasemaje CDM kuhusu hilo?
 
Anayejenga zahanati ni wizara sio lowassa,ulitaka atumie mshahara wake kukujengea zahanati!!?? ! pili, Richmond hata wewe unajua ni ya nani acha ushambenga!

Mbona shule za kata anadai alijenga yeye na amumuulizi hayo maswali badala yake mnabaki tu mnasema ndio mzee?
 
CCM ni jumba Bovu! linapigwa mashambulizi kila kona,mtajiju mwaka huu
 

alitaka kujua kuna wangapi wanakumbatia ufisadi
 
..heri nimpigie kura fisadi 1 kuliko kuwapigia kura mafisadi 100!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…