Lowassa hakumuelewa Mwalimu Nyerere

Lowassa hakumuelewa Mwalimu Nyerere

Lowassa! A leader with Charisma without Character. Nionavyo mimi huzuni ilikuwa na hadi sasa ipo kwa wale waliokuwa wanasaka madaraka kwa kutegemea nguvu ya fedha.Kumbuka haki hainunuliwi wala haiuzwi. Wengi wa watu waliomchagua JPM ni watulivu, watu wazima na wasio na makuu. We unaita huzuni , mi naona utulivu. Hata sasa wazee kwa watu wazima na mama zetu hawatukanwi tena na wahuni. Sijui angeshinda Lowassa ingekuwaje? Sijui kama Nchi ingetawalika maana wahuni wangeshika hatamu.

Naunga mkono hoja utu uzima dawa,
Wahuni wasioelewa, wadeni barabara,na genge la majambazi lililokuwa nyuma yake taifa lingeangamia
 
Magufuli mungu alimpa nchi kama sehemu ya ukombizi wa wanyonge lkn lowasa na viroba vyake vya pesa alijiona anaweza kuriko mungu,
Akawa anatumikia mungu wa kingunge na mungu wa gwajima,akaishia chali
 
Back
Top Bottom