Lowassa hakumuelewa Mwalimu Nyerere

Lowassa hakumuelewa Mwalimu Nyerere

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
902
Reaction score
909
Mwalimu Nyerere aliisha sema MPINZANI wa kweli atatoka ndani ya CCM, Sasa Mzee Lowassa hakuelewa alijua MPINZANI wa kweli ATAHAMA CCM kumbe atatoka ndani ya CCM.

Nachokifanya Magufuli ni tofauti kabisa na CCM na huu ndio upinzani wa kweli alioumaanisha mwalimu Lowassa akarukia kwa mbele
1448736582522.jpg
 
Dada yangu leo weekend TOROKA UJE.

swissme
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mwalimu Nyerere aliisha sema MPINZANI wa kweli atatoka ndani ya CCM, Sasa Mzee Lowassa hakuelewa alijua MPINZANI wa kweli ATAHAMA CCM kumbe atatoka ndani ya CCM.

Nachokifanya Magufuli ni tofauti kabisa na CCM na huu ndio upinzani wa kweli alioumaanisha mwalimu Lowassa akarukia kwa mbele
View attachment 308093

Hayo maneno ya watoto wa mama, yaani umekaa kimbeambea..!!
 
Mwalimu Nyerere aliisha sema MPINZANI wa kweli atatoka ndani ya CCM, Sasa Mzee Lowassa hakuelewa alijua MPINZANI wa kweli ATAHAMA CCM kumbe atatoka ndani ya CCM.

Nachokifanya Magufuli ni tofauti kabisa na CCM na huu ndio upinzani wa kweli alioumaanisha mwalimu Lowassa akarukia kwa mbele
View attachment 308093

Kiukweli nmeamini Mungu hujidhiirsha kwa njia nyingi bifu la lowasa na Jk limetuletea ukombozi ...Amen Mungu mlinde na umbariki Rais wetu kipenzi mheshimiwa Dr.John Magufuli Mungu akulinde na akupe nguvu uweze kupambana na wakwepa kodi ata Nyerere alisema serikali isiyoweza kukusanya kodi ni serikali legelege sasa business as ussual inaelekea kwsha umenikosha sana...
 
ole wako vijana wa vidole juu wakusikie na jinsi walivyo wambeya. mi nasepa mapema.

Mwalimu Nyerere aliisha sema MPINZANI wa kweli atatoka ndani ya CCM, Sasa Mzee Lowassa hakuelewa alijua MPINZANI wa kweli ATAHAMA CCM kumbe atatoka ndani ya CCM.

Nachokifanya Magufuli ni tofauti kabisa na CCM na huu ndio upinzani wa kweli alioumaanisha mwalimu Lowassa akarukia kwa mbele
View attachment 308093
 
Usijisifu una mbio msifu na anayekukimbiza.
Lowassa si wa kubeza hasa ukizingatia namna utoaji wa matokeo ulivyofanywa na tume.
Lakini pia hebu vuta kumbukumbu namna ushindi wa JPM ulivyopokelewa kwa huzuni. Ujue kuna kitu. Kuna kazi ya mungu hapo haikuenda barabara na kama ndivyo basi atatenda miujiza. Kwasabb kuna usemi kuwa "nothing goes unpaid"
Nilifikiri ni jambo jema kukaa kimya na kuacha mambo yaende kadri alivyopangilia Mola. Na kama kuna upatilizo basi utupate tukiwa kimya. Kama ni neema na ije tukiwa kimya na wamoja.
 
Mnaota upatilizo! MUNGU anaipenda isivyo kifani Tanzania. Atamtunza Mh.JPM na nchi yetu,waliopoomba watakatifu kwa kumaanisha MUNGU amejibu. Sasa ni wakati wa kushukuru na kuomba haja zetu zijulikane kwa aliyetuumba. Shetani hataishinda nchi hii,imelindwa kwa nguvu kubwa ya aliyeiumba.
 
Lowassa! A leader with Charisma without Character. Nionavyo mimi huzuni ilikuwa na hadi sasa ipo kwa wale waliokuwa wanasaka madaraka kwa kutegemea nguvu ya fedha.Kumbuka haki hainunuliwi wala haiuzwi. Wengi wa watu waliomchagua JPM ni watulivu, watu wazima na wasio na makuu. We unaita huzuni , mi naona utulivu. Hata sasa wazee kwa watu wazima na mama zetu hawatukanwi tena na wahuni. Sijui angeshinda Lowassa ingekuwaje? Sijui kama Nchi ingetawalika maana wahuni wangeshika hatamu.
 
Sitoacha kumshukuru Rais mstaafu Dr JK kwa kujaaliwa maono mapana ya kuamua kuvunjilia mbali mfumo ovu wa kina Lowassa na kuamua kumpigania Dr. Magufuli awe Rais wa nchi yetu KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA LETU.
 
Kupiga chini lowasa taifa limepona,ukitaka kujua angalia walioko nyuma yake tangu akiwa ccm ni majizi na mafya tupu,
 
Back
Top Bottom