Lowassa: Gwajima ni mnafiki

gwajima anajitihada binafsi za kubaki kwenye headlines kama wema sepetu!!!
 
Uwongo tu lowasa hajatamka hivyo massengeh nyinyi
 
Nijuacho mie Magufuli ni Rais dhaifu asiyeweza kabisa washughulikia mafisadi papa kama Lowassa.
 
mnaona raha kusoma vichwa vya habari na kuposti huku mkijadili. Nani kaisoma habari hiyo katika kurasa za ndani ya gazeti hilo? tunahitaji jamii yenye uwezo wa kupembua habari hizo kiundani kabla hamjaanza kuchangia hoja hiyo. Binafsi mpaka niisome ndo nichangie.
 
Yah nikweli, lakini vipi ule mpango wako wa kutaka uwe mtoto wa Lowassa mpaka ukawa unafoji majina Lizaboni Lowassa hivi ulifeli vipi mkuu?
 
hakika inashangaza kwa jinsi kolabo ya wanafiki wanavyorukana baada ya kukwaa kisiki. wanasiasa wana kawaida kutaka kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye ushawishi hata kama ni shetani. mchungaji feki gwajima eti anamruka laigwenan lowassa wakati alijidai wanaompinga wanywe sumu.
 
mb

sioni kauli ya mh lowasa.
hilo gazeti sijawhi kulisikia
picha ya hilo gazeti kidogo
 
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
mateja hupata picha wakikata mitaa NY marekani, wakiwa na warembo wakila raha, wakimiliki majumba ya kifahari, magari ya bei mbaya n.k. kumbe wamejilaza pale coco beach.
huna tofauti na mateja wewe ambae unaona jpm akienguliwa magogoni na el akitinga ikulu. pole, nawe uko wapi? coco au mbezi?
 
Katika siku ambazo naweza kukuunga mkono basi ni leo. Tangu Magufuli ameingia kiwewe, hujawahi kuappreciate kazi zake. Ila leo umeadmitt kuwa Magufuli kaleta kiwewe kwa mafisadi. Ahsante sana
Aaaaaah lizabon.........
 
hivi hamyajui magazeti yetu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…