assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzanialowassa si mnafiki labda mtu awe hajui tafsiri sahihi ya neno MNAFIKI
Hata wewe ni mnafiki, teamlowassa kumponda Gwajima ni unafiki.hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.
Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
nashangaa sana wanaomuunga mkono huyu jamaa yaaani siwaelewewi kabisaaa wanakua kama wanawake vigumu kuelewa wanataka nn hasaNadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Kuna mtu kasema wote wanafki mkuu.kuhusu ufisadi siwezi sema sana pkn nnajiuluza tu haya yote yanayojidhihirisha sasa yahusuyo ufisadi mkuu ulokuwa unafanywa kwe serikali ya mjomba wenu,hivi bado hamuoni aibu kuendelea kumkingia kifua kuwa yy siyo fisadi babu!!.Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
We jamaa ile hosp ya dodoma inakhs!hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Ndoto ya saa tano Asubuhi hii atashinda kesi kwa katiba IPI?hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Kama Rais wa twiga star hapo sawa lakini kuwa Rais wa tanzania hapana.hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Eti gazeti linaitwa Wembe! kweli IQ za Watanzania wengi ni za kutiliwa shaka.hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.
Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
Hilo swali Nimeshindwa kulipatia jibu. Huwa Najiuliza sana ni kipi hasa kinachowafanya watu wamshabikie mtu usieweza kumtetea Kwa hoja za msingi hata kama ujitie wehu.nashangaa sana wanaomuunga mkono huyu jamaa yaaani siwaelewewi kabisaaa wanakua kama wanawake vigumu kuelewa wanataka nn hasa