The dirt paka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 371
- 69
Angali mbichi,Lowassa umeshakauka(amekuwa kaukau)Wahenga walinena samaki mkunje..............................
Wahenga walinena samaki mkunje..............................
Angali mbichi,Lowassa umeshakauka(amekuwa kaukau)
LOWASA karibu,kwa kipindi kifupi ulichokaa madarakani walau ulionyesha
kuwajali watz,ulisimamia shule zikajengwa,mradi wa maji victoria mpaka kahama,mradi wa maji wachina dar
bomba zilitandazwa lakini ulivyoondoka mpaka leo bomba zile hazijtumika.eti source ya maji haitoshelezi.
barabara kama ya shekilango ilijengwa etc.karibu tuwaletee watz maendeleo!yaliyopita si ndwele!tunajua tatizo
lilikuwa ni uwaziri mkuu