Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema Ndg. Edward Lowassa kasisitiza kuwa damu yake inachemka kuwatumikia watanzania na ndio mana amekuwa akisisitiza wananchi kuunga mkono muungano wa Ukawa ili tarehe 25.10.2015 walete mabadiliko katika nchi hii..
"Kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya chama changu (CHADEMA), ni zaidi ya Ukawa na ni zaidi ya Lowassa...
Ni kampeni inayohusu kila Mtanzania mwenye kiu ya mabadiliko. Ni kampeni inayohusu mambo tunayoweza kufanya kwa pamoja kama taifa; kampeni/uchaguzi huu ni fursa na nyenzo ya kutimiza matumaini na ndoto za watanzania"... Lowassa
NB: Bado siku 37 anza kuandaa kichinjio chako....