Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,723 Jun 1, 2015 #1 Ha ha ha ha!! Hii picha imesababisha nicheke mpaka watu wananishangaa
All TRUTH JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 5,452 Reaction score 2,575 Jun 1, 2015 #2 Hahahaha. Kweli mshindi
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,685 Reaction score 28,801 Jun 1, 2015 #3 Kwa ndani naona kavaa jezi ya ACT-ya Supreme Leader...Kahamia huko ? Ebu tazama picha kwenye post no. moja ya uzi huu.
Kwa ndani naona kavaa jezi ya ACT-ya Supreme Leader...Kahamia huko ? Ebu tazama picha kwenye post no. moja ya uzi huu.
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 739 Jun 1, 2015 #4 Labda bun.gwa wa kuiba
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,063 Reaction score 10,479 Jun 1, 2015 #5 Vipi, Hilo ni kombe lililojaa pesa za wizi za Richmond?
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Jun 1, 2015 #6 Mimi ni anti ccm lakini katika maccm labda ni Lowassa tu ndio anaweza akatusumbua,sababu ni kwamba katika wezi na mafisadi wanaosemwa ni yeye tu anayethubutu kuwatumikia wananchi bila kujali sera za mazoea za chama chake.
Mimi ni anti ccm lakini katika maccm labda ni Lowassa tu ndio anaweza akatusumbua,sababu ni kwamba katika wezi na mafisadi wanaosemwa ni yeye tu anayethubutu kuwatumikia wananchi bila kujali sera za mazoea za chama chake.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Jun 1, 2015 #7 Chachu Ombara said: Ha ha ha ha!! Hii picha imesababisha nicheke mpaka watu wananishangaaView attachment 256166 Click to expand... Tatizo la watizedi ni njaa, wako tayari kula mavi! Clauds na memberz wake wote njaa tuu!
Chachu Ombara said: Ha ha ha ha!! Hii picha imesababisha nicheke mpaka watu wananishangaaView attachment 256166 Click to expand... Tatizo la watizedi ni njaa, wako tayari kula mavi! Clauds na memberz wake wote njaa tuu!