Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Alitoswa '95 hakukubali akafikiri mbaya wake ni Mwalimu Nyerere, ikaja 2005 pia akapigwa chini kiujanja bado akajipa moyo kwamba 2015 ni lazima awe Mgombea wa CCM piga ua, 2015 ikafika CCM wakarudia tena historia wakapiga chini mbaya yaani sasa baada ya hayo matukio yote matatu ya kupigwa chini bado amenuia na anaamini kabisa kwamba atakuwa Rais wa JMTZ.
Hapo mwishoni mwaka huu tena cha kuchekesha zaidi kwa kukitoa Chama Dola Madarakani na safari hii amerudia vitisho vyake kama alivyokuwa CCM kwamba wataandamana na kumtoa Rais wa JMTZ kwa nguvu Ikulu, hayo ni maneno ya Lowassa.
Na ukiangalia katika vitisho ambavyo amekuwa akitoa hakuna hata kimoja alichokifanikisha.
Naisubiri kwa hamu Novemba ifike, sasa sijui atakuja na lipi tena.