kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Hiyo kazi waliyokupa itakufanya uchume dhambi..
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Aisha Iddi, naomba nikupe ushauri mdogo tu, umejiunga na JF tarehe 25 August, 2015 na hata mwezi bado na toka umejiunga umeanzisha mada tatu tu na post zako kwa ujumla ni 31. Katika hizo zote hakuna ulipojitambulisha na uanachadema, sana sana umejitambulisha kama mwana CCM kindakindaki na shabiki mkubwa wa Magufuli. Kijana kumbuka hii ni JF na hivyo ukiwa muongo hakikisha huwi msahaulifu; JF inatunza kumbu kumbu.Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020
Kazomewa mimi nimekuwa morogoro na nimeshuhudia akizomewa japo mnaficha.
Aisha Iddi, naomba nikupe ushauri mdogo tu, umejiunga na JF tarehe 25 August, 2015 na hata mwezi bado na toka umejiunga umeanzisha mada tatu tu na post zako kwa ujumla ni 31. Katika hizo zote hakuna ulipojitambulisha na uanachadema, sana sana umejitambulisha kama mwana CCM kindakindaki na shabiki mkubwa wa Magufuli. Kijana kumbuka hii ni JF na hivyo ukiwa muongo hakikisha huwi msahaulifu; JF inatunza kumbu kumbu.