droidwallmail
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 275
- 63
LOWASA ni fisadi wala siyo kama unavyodhani.
Huyu mgombea kila anapooneka ni hatarii, leo tena wakati anatoka gold crest hotel Mwanza kuelekea karagwe kwenye mkutano, hoteli ilikuwa imezungukwa na umati wa watu wengine wakiwa barabarani.
Kwa sasa ndio anasepa kuelekea airpot kupanda chopa kuelekea Karagwe kufanya mkutano kayanga mida ya saa 6.30 mchana.
LOWASA ni fisadi wala siyo kama unavyodhani.
we huko masanza yenu napo utasema mwanza!!
LOWASA ni fisadi wala siyo kama unavyodhani.
magufuli hajawekwa na mtu kwenye uongozi ila fisadi lowasa ndiyo kafikishwa hapo na mafisadi.
HUKU MWANZA...HAKUNA HOMA YA LOWASSA.... KAMA KAWAIDA...SAMPULI YA WAFUASI WAKE NI WALE WALE WA KAWAIDA KUNA GROUP LA BODA BODA ( wa mafuta full tank) , WAFANYABIASHARA WA KICHAGA, WAJALUO NA WASHASHI WACHACHE AMBAO NI WAFUASI WA WENJE......TENA LEO WALIKUWA WANAIMBA KIJALUO.....NENO MABADILIKO....
MWANZA HAPA KAZI TU......WAFUASI WA CHADEMA ASILI WAMEIBATIZA...... M4C (MAGUFULI 4 CHANGE)....
pesa!!!!watu wana njaaaaa!!!ila kumbukeni dr ndo rais wa awamu ya 5!!!!!fanyeni research c jf tu!!
watu wanafuata pesa bana wala hakuna lingine huyu fisadi anagawa pesa njenje kwanini wasiende kupanga foleni.
Kwani wewe pia ni fisadi hata uogope fisadi wakiandamwa?Ungejua neno ufsad watu wamelichoka usingeangaika. Manake huku kitaa tushaona kawaida tu. Jarbuni kutafta mbinu nyingine ili tuwasome. Niushauli tu kwa wana ccm. Manake tumewapa nchi mnashindwa kuwatia ndani hao ambao mnawaita mafisad. Sheria mnazo kila kitu alafu mnakuja kutuubilia sisi tulowapa madaraka. Unazani sisi tutafanya nn zaidi yakufanya maamz mazito kipnd hiki.