Lowassa azidi kuzama

Lowassa azidi kuzama

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12049128_155903988089198_7721463636145235174_n.jpg
 
Propoganda at work. CCM tuambieni sera zenu na nini mmefanya kwa zaidi ya miaka 50
 
Tanga hali tete.... Wananchi waliojitokeza haijawahi kutokea duniani... Watu 50 walishazimia, imebidi Sumaye ahairishe mkutano
 
Attachments

  • 1443453961782.jpg
    1443453961782.jpg
    94.2 KB · Views: 1,088
Magamba mbavu zimevunjika,kule Maalim Seif huku Lowassa sijui mtatokaje mwaka huu !!ata threads zako Mr Chin zinakosa wachangiaji kabisa!!.CCM OUT
 
Last edited by a moderator:

Pole sana kwa kutumika!tuambie kwanza ulikula sh. ngapi?maana inaonekana ulitumika sana kibaya zaidi hauna hata unifomu ya chama afu umeficha uso wako na bango lako!nyie ndo mnatumika vilivyo leo uko UKAWA kesho uko CCM tumia akili yako sawasawa kama umeamua kuWA CCM hata hiyo sura yako ungeionyesha hadharani maana ndo chama tawala!
 
Hivi mmeishapima pressure ya magufuli baada ya kuangalia news saa2 usiku?

Mr Kidevu raisi wa Kuwait ni Saddam Hussein amechoka kabisa !!kateua watu 32 kwenye timu ya kampeni yake wakati wanaowezakujenga hoja ni wawili tu,wengine wamebakia Shatiii oyeeee,maji oyeeee,kifimbo oyeeee...CCM OUT
 
lowasa chaguo la mungu poleni ccm kila mnachofanya kibaya kwa lowasa kinavuja sasa kaaeni chonjo
 
Hicho kijarida ni propaganda za msama za kumpigia debe magufuli. Ukabila na ukanda at work
 
Pole sana kwa kutumika!tuambie kwanza ulikula sh. ngapi?maana inaonekana ulitumika sana kibaya zaidi hauna hata unifomu ya chama afu umeficha uso wako na bango lako!nyie ndo mnatumika vilivyo leo uko UKAWA kesho uko CCM tumia akili yako sawasawa kama umeamua kuWA CCM hata hiyo sura yako ungeionyesha hadharani maana ndo chama tawala!
Huna point kijana. LOWASSA ANAENDELEA KUZAMAAAA
 
Wapi kiongozi wa IT masaki team? Njoo fukuza vijana wako huku. Propaganda zimewashinda!
 
Back
Top Bottom