Antar bin Shaddad
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 202
- 102
Jamani mimi mwenzenu ni mbumbumbu katika hili na ninaomba kuelimishwa. Hivi uchaguzi huo wa 2015 ni wa kumchagua askofu au rais. Na kama ni uchaguzi wa urais, kuna sheria iliyopitishwa kwamba wapiga kura watakuwa ni wa dhehebu moja tu? Hivi kuchangisha makanisani na kuwaacha wahitaji wakubwa wa misaada kama wale waathirika wa mafuriko kutatoa mafanikio gani ya kisiasa. Kama ni utakaso wa fedha haramu basi utakaso bila toba ni bure! Haya msioitakia mema nchi yetu endeleeni kushangilia lakini kwa wenye akili zao wanajua kwamba this is a wasted effort!
wewe labda ndio unamsongesha mbele,umeona anavyomtesa mpiga kura mwenzetu za urais 2015 dk harrison mwakyembe?
sasa unatokwa na mapovu yote haya ya nini?!!:A S embarassed:Jamani mimi mwenzenu ni mbumbumbu katika hili na ninaomba kuelimishwa. Hivi uchaguzi huo wa 2015 ni wa kumchagua askofu au rais. Na kama ni uchaguzi wa urais, kuna sheria iliyopitishwa kwamba wapiga kura watakuwa ni wa dhehebu moja tu? Hivi kuchangisha makanisani na kuwaacha wahitaji wakubwa wa misaada kama wale waathirika wa mafuriko kutatoa mafanikio gani ya kisiasa. Kama ni utakaso wa fedha haramu basi utakaso bila toba ni bure! Haya msioitakia mema nchi yetu sasa endeleeni kushangilia lakini kwa wenye akili zao wanajua kwamba this is a wasted effort!
Idiot at work!atakuwa "baba mtakatifu" wa kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania but si rais wa JMT
Sasa unatokwa na haja ----- ya nini?:A S embarassed:kaka hii nimeipenda ni mchango bora kwa mwaka 2012
Mimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.
Hivi tokea ajiuzulu uPM amechangia makanisa kiasi gani hadi sasa? Kati ya hizo marafiki zake wanaomsaidia michango ni akina nani. Mwisho wa siku atatueleza fedha hizo alizipata wapi na kama zililipiwa kodi au la.Nyumba za ibada nazo zinatisha! Wanajua kabisa jamaa anatumia fedha chafu, lakini wanazitaka tu!
Anachofanya Lowassa ni kuwapa wachangiaji hizo fedha ili wachangie, yeye aonekane amefanikisha harambeee. Jamaa kajiandaa vya kutosha, nadhani ameshaweka nchi rehani hapo...akipata atalipa
Sasa unatokwa na haja ----- ya nini?:A S embarassed:
Baada ya kutoka kanisani alikutana na wajasiriamali wa soko la kambarage kulikuwa na nyomi kimtindoMimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.
Baada ya kutoka kanisani alikutana na wajasiriamali wa soko la kambarage kulikuwa na nyomi kimtindo