Lowassa awaandalia dinner waandishi wa habari

Lowassa awaandalia dinner waandishi wa habari

Mimi ninaimani sana na PINDA. Wanaosema ni dhaifu,uwaziri mkuu umemshinda e.t.c,hawaijui dhana halisi na historia ya system na serikali.

#Sokoine alikuwa very active kipindi kile coz Nyerere alimthamini(Nyerere empowered him).

Lowasa alikuwa motto zaid coz % kubwa sana ya Mchakato ulomwingiza JK white house ALIURATIBU YEYE (Lowasa)pamoja na washirika kadhaa kama wale Wasomari wa HOME SHOPPING CENTER.(ninavyoamini). So,alikuwa na #say kubwa coz alikuwa na share yakutosha ktk biashara na rasilimali mingi za Tanzania(mfano SHIVACOM & CLEARING AND FORWADING COMPANY) pale bandarini. Hakuwa na wakumpinga. Na JK alikuwa kama Kondoo tu kwake.

Sasa mtoto wa mkulima kaingia Ofisini as a PM anakuta mazingira hayo. Ikawa ni full visasi,ghilba kedekede na akafanyiwa mazingira na mizengwe mingi kiutendaji. Inshaalah, hakukata tamaa.

Lakini, (PINDA),on his own,yupo capable sana kulisaidia Taifa. Hana tatizo, na zaidi,si mlafi wala mroho.

***NAWASILISHA***
 
Pia,kila mtu anayefuatili siasa za Bongo,ni shuhuda wa jambo hili kwamba, #NYERERE hakutaka LOWASA ashike nafasi kubwa ya Urais . hata kidogo. He(Nyerere) knew his probs kwa maslah ya Taifa.
 
Pia,kila mtu anayefuatili siasa za Bongo,ni shuhuda wa jambo hili kwamba, #NYERERE hakutaka LOWASA ashike nafasi kubwa ya Urais . hata kidogo. He(Nyerere) knew his probs kwa maslah ya Taifa.

ukiwa unataka kuongelea maendeleo nje ya ujamaa naomba usimwongelee Baba wa Taifa na alichokitaka ama alichokikataa,being Baba wa Taifa does not mean hawezi kukosea,kama huamini jiulize kwanini Ujamaa ulishindwa
 
Ngoja niseme jambo moja huyu lowassa mnamchukulia poa tu lkn ni vyema sote tukatambua ya kwamba kitendo cha kukutana na media miezi michache kabla ya uchaguzi ni miongoni mwa strategy za kwanza kusoma upepo wa urais pili ni kujua mbinu za wapinzani wake hawa media msiwabeze wala kuwa undermine pamoja na "ukanjanjanja"mnaoutaja hapa lkn hawa ni watu hatari wanapenyeza sehemu nyingi,wanasikia mengi na wana set agenda kama miongoni mwa majukumu ya media houses.my take kila jambo linalozungumzwa hapa jukwaani ni vyema tukatafakari kabla ya kubwatuka haya ni mambo mazito msione mepesi eh!g.n
 
Baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutangaza nia ya kugombea Urais, kasha kuungwa mkono wa Wabunge na wajumbe wengi wa Bunge maalum la Katiba, imezusha hofu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa, ambapo jana usiku aliwakaribisha waandishi wa habari nyumbani kwake kama njia ya kujuana na kubadilishana mawazo.

Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwake mjini Dodoma na kushirikisha waandishi kutoka vyombo mbalimbali, kati ya mazungumzo hayo yualiegemea zaidi kujua namna siasa zinavyooonekana nchini na jinsi nafasi ya Urais inavyozungumza.

Njia hiyo ilipatia nafasi kufahamu nguvu za wapinzani wake zilivyo hasa Pinda ambaye amewavutia watu wengi kutokana na kuwa na sifa ya kutokuwa na makundi pamoja na tabia yake ya kufanya kazi kwa uadiulifu na maadili.

Hafla hiyo ambapo waandishi walikula na kunywa hawakutakiwa kupiga picha wala kutoa habari kwa kile kinachoelezwa ilikuwa kirafiki zaidi

Lowassa huyu huyu aliyesemaga uandishi wa habari ni kimbilio la wale waliofeli 4m4!au kuna lowassa mwingine :what:
 
ikiwa mzee wa taifa hilo tayar aliweka obstacles kuhusu huyu mwenye mvi kutaka uprezdaaa niaje wewe punguani watu wameona mbaliii sana "selfish men" kama vp kikwete apewe muda mwingine madarakani
 
Back
Top Bottom