Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..


Yesu tena? kweli mmechanganyikiwa nyie mabumunda
 
Lowassa anawatesa kisaikologia na badoo..
Raisi wetu Mh E.LOWASSA tunaimanii na safarii tulioanza wote 2008..
 
Yaani Mungu hawaachi wanadamu wake Tanzania wateseke, wakati kama huu.. Anamtoa Mwana wake wa pekee atuongoze, na kutulinda...Hakika Mungu sio Makongoro..wala athumani...

Lowassa ni mpango wa Mungu baba
 
Mnazungumza pesa tuu ! wewe umepawa milioni ngapi ili uwape watu milioni milioni! ?



............... usisahau hiyo kauli yako ya kulipa watu milioni ! πŸ˜›oa Mr. President
 
Last edited by a moderator:
Mnazungumza pesa tuu ! wewe umepawa milioni ngapi ili uwape watu milioni milioni! ?



............... usisahau hiyo kauli yako ya kulipa watu milioni ! πŸ˜›oa Mr. President
 
Last edited by a moderator:
Tutataka 450 na kati yao sa znz wakuwepo hao wengine wasindikizaji tu na wote ni woga wa kutokujiamini
 
Hivi [just thinking out loud] tuseme hao wote amewapa hongo???
Mimi ninadhani imefika wakati ni lazima tukubali ukweli kuwa EL anahaiba kitu ambacho wenzake hawana.
Na ndiyo maana chuki kubwa inaenezwa kumzima lakini ninaona moto wake ni mkali sana na wanaoweza kuuzima moto huu ni mkutano mkuu wa ccm. na kwa maoni yangu ni kuwa kama wakizima moto huu basi hata ccm itajizika wenyewe.
 
Tunasubiri siku ya ukataji wa jina !!!
 
kama sio lowassa basi itakuwa Ukawa hilo linajulikana kwa sababu hata upinzani wanamkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…