Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

ameen Mungu aweke roho ya marehemu pahala pena peponi
 
Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA
Kama alisema maneno haya (nahakika huwezi kumsingizia marehemu) basi ni sababu tosha kwa hawa wafuatao kutubu kwa Mungu ikiwa ni pamoja na kuomba msamaha hadharani kwa kauli zao walizo pata kuzitoa la sivyo wataacha wajane siku si nyingi.
Mwigulu,Nape,Lusinde,Bulembo,Msukuma,Makongoro(yule mlevi),na watu kadhaa humu JF kwani hata ukitumia jina bandia Mungu anakutambua tuu.
Mwenye kubisha hili ajitokeze na kubisha kuwa yeye hajali na ataendeleza maneno kama ya Celina
 
No matter how I hate him!

Kwa kweli namuomba Mwenyezi Mungu anisamehe kwa kudhihaki afya ya huyu mzee wa watu mitandaoni …….kumbe naweza kutangulia mimi ninaye jiona mzima nikamwacha yeye anadunda ..…... kuna kitu kikubwa sana nimejifuza hapa!…….

Kwa maana hii sasa nimekubali kumpigia kura kwa dhati kabisa toka moyoni!
 
RIP Celina. Poleni familia na wana-Ulanga wote
 
Lowassa rais alie jaa mioyoni mwa watanzania ana utu sana huyu baba...RIP celina.
 
Amen R.I.P
Ila hatukujua kama anaumwa
Wangesema wao wamekalia lowassa tu kumbe nyumba inaungua???
 
R.I.P pole kwa ndugu wote Mungu awape nguvu katikakipindi hiki kigumu.
 
Kumbe na wewe na share na RIZIWANI....e bhana eeeee...duuuuut!!! Lowasa atawanyooosha.
 
 
Kapteni mstaafu wa Jeshi John Komba alipata kusema Warioba kaona anakaribia kufa ndiyo anataka kutuachia matatizo ya katiba. Matokeo yake Warioba yupo lakini yeye katangulia na Warioba akatoa salam za rambi rambi.
Akaja Celina Kombani. Yeye aliwahi kusema kuhusu Lowasa kuwa "Afadhali mgonjwa ameondoka mwenyewe, maana angetufia tu". Kilichotokea taifa lipo kwenye msiba mbichi kabisa tukiomboleza kumpoteza 'mpendwa' wetu huyu.
Kama hatazuiwa, huenda Lowasa akahudhuria mazishi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…