Lowassa atoa mpya..............

huyu anachosema ni kwakuwa anawasiwasi machafuko yakitokea AR vitegauchumi vyake vitateketea
 

Strategies za huyu Bwana mkubwa katika kuuteka umma ni kali sana.
Ipo siku atautambia kuwa yeye siyo fisadi kama anavyo tuhumiwa, hayo yalimpata akiwa katika kutii maagizo ya Mkuu wake. Ndiyo maana Mkuu wake alisema hiyo ni "Ajali ya Kisiasa". Huenda baadae huyu Mzee akauomba hata huo ukuu ili arekebishe hayo anayoyaona. Na akiupata huenda wakaanza kurekebishana Kama Mwanawasa na Chiluba kule zambia!

Lakini pia tusijisahau sana Bob Marley aliwahi kuneena ya kuwa
"Rafiki yako mkuu aweza kugeuka na kuwa adui yako mkuu huku Adui yako mkuu akigeuka na kuwa Rafiki yako Mkuu"


 
Issue si wanafungwa au hawafungwi.....kilichomshangaza mtoa mada ni Lowassa pamoja na vile tunamvomfahamu kunyooshea wenzie kidole...wakati ye hafanyi hivyo ndo ni kasema hiyo inawezekana na inafanyika kwamba mtu hajiangalii yeye ila ana guts za kumnyooshea mwenzie kidole.......as simple as that.
 
wabongo tunajidharaulisha wenyewe.yo know what.! Huyu jamaa hakustahili hata kujitokeza publicly. Nchi hii n kama tumerogwa.
 
Amesahau jambo moja, anadhani ukiwa mbunge au Diwani tayari ni tajiri ( kama Marekani) kwahivyo unaweza kuwakopesha wapigakura wako. NYAMBAF!!!!!!!!!!!!!!
 
'' By the time a man is wise enough to watch his step,he is to old to anywhere'' :redfaces::redfaces:
 


Mhhhhhh! Juhudi za kuingia Ikulu 2015 zimeanza mapema mno! yetu siye macho.

 
TZ NEC Marathon......................................................2015
 

the motherf.u.c.k.er is playing poltics of 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…