Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
kweli nyani haoni kundule.......yaani huyu Lowassa sasa amekuwa ni mtu wa kuhimiza maadili ambayo yeye mwenyewe wala hayafuati.................Is this not a case of preaching water while swilling wine when nobody is watching?
Mnashangaa nn wakati ninyi mnaomwona mmbaya ndo ninyininyi mnaompa kura?
BTW anajiandaa kwa 2015!
Kwani kama baba yako akiwa na tabia ya ulevi wa kupindukia,hawezi kukuambia mwanangu usinywe pombe fanya moja,mbili,tatu........???Hii inaonyesha anajua lile lililo sahihi na wanalostahili kufanyiwa wananchi na ndo anachohamasisha.........wachungaji wangapi wanatuambia tusizini nao wana wanawake nje ya ndoa zao?????????????Mwenzenu kaliona........................anafanya na kuhamasisha wenzake.........LOL
alegee
kweli nyani haoni kundule.......yaani huyu Lowassa sasa amekuwa ni mtu wa kuhimiza maadili ambayo yeye mwenyewe wala hayafuati.................Is this not a case of preaching water while swilling wine when nobody is watching?
i love this one...Kwani kulewa sawa na wizi?....walevi wanafungwa?
Lakini nae atataka aonje ajue ladha yake kwanini baba yeye anywe halafu mimi anikataze kama ni mbaya mbona haachi...........Yeye ndio alitakiwa atoe mfano wa uongozi bora ndio awaelekeze na wengine. Anasubiri gawio la bil. 189 Dowans halafu anawaambia watu wafuate maadili ya uongozi, wawatumikie wananchi na wasijiangalie matumbo yao?Kwani kama baba yako akiwa na tabia ya ulevi wa kupindukia,hawezi kukuambia mwanangu usinywe pombe fanya moja,mbili,tatu........???Hii inaonyesha anajua lile lililo sahihi na wanalostahili kufanyiwa wananchi na ndo anachohamasisha.........wachungaji wangapi wanatuambia tusizini nao wana wanawake nje ya ndoa zao?????????????Mwenzenu kaliona........................anafanya na kuhamasisha wenzake.........LOL