Hiyo sababu ya kumweka rumande kwakweli inasikitisha!Tanzania hii hii tunafanyiana hivyo kweli!inauma sana!Mungu akulinde dada Easter.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dua la kuku....Sitaki kusikia ujinga ujinga wa kinafiki wa viongozi wa dini kuwa eti bwana yule aombewe sana, Mimi nasema acheni ajiombee mwenyewe shetani mkubwa! Watu wanateseka kwa kutimiza wajibu wao kama raia wa nchi hii halafu jitu lililolewa madaraka linatesa raia wema pasipokuwa na kosa lolote
usimuhusishe Mungu kwenye ujinga!God is watching this pathetic comment you are making here......You know she did nothing wrong.
Nafikiri mko wachache wenye mawazo hayo. Na hasa wewe huna ubavu huo ni maneno tu ya mtandaoni! Eti?..yani huyu Dada angepata shida (kifo)chini ya hao mashetani wangeomba mbingu zipasuke...maana nchi ingelipuka....inahitaji trigger moja tu nchi hii ili watu waamke na kuchukua hatua kama juke Tunisia... Serikali dhalimu zinahitaji jambo moja tu bata kuziondoa madarakani...Na jambo hili naona serikali hii ya sasa inalitafuta kwa kaai ya ajabu..hawajui watanzania wanaishi kwa uvumilivu (tolerance) na si amani kama watawala hawa dhalimu wanavyodai..Sasa hivi suala la Amani tz si issue tena bali uvumilivu..ambao nao unapungua kwa kasi ya ajabu..?
usimuhusishe Mungu kwenye ujinga!
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
Unaufahamu ujinga kweli? maana comment yako hapo juu haionyeshi hivyo.
Ni hilo tu analoliweza? ama kuna lingine
Bila shaka fahamu zitawajia kuwa kule ndani sio kuzuri, wala sio sifa kupelekwa kule.
Its Bullshit Not News,how many patients are in our pathetic hospitals!Tell us even when he goes to the toilet,it will still be news!Stop politicizing every thing that NILWIT does.
....My question is still not answered, why bother responding to bullshit as u called?Its Bullshit Not News,how many patients are in our pathetic hospitals!Tell us even when he goes to the toilet,it will still be news!Stop politicizing every thing that NILWIT does.
Hayo ndio anayoyaweza aendelee nayo!
Poleni sana watSitaki kusikia ujinga ujinga wa kinafiki wa viongozi wa dini kuwa eti bwana yule aombewe sana, Mimi nasema acheni ajiombee mwenyewe shetani mkubwa! Watu wanateseka kwa kutimiza wajibu wao kama raia wa nchi hii halafu jitu lililolewa madaraka linatesa raia wema pasipokuwa na kosa lolote
Poleni sana watu wa madili. Sisi tunasonga mbele JPM Hoyeee!Sitaki kusikia ujinga ujinga wa kinafiki wa viongozi wa dini kuwa eti bwana yule aombewe sana, Mimi nasema acheni ajiombee mwenyewe shetani mkubwa! Watu wanateseka kwa kutimiza wajibu wao kama raia wa nchi hii halafu jitu lililolewa madaraka linatesa raia wema pasipokuwa na kosa lolote