OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Narudia tena kuwaambia, Lowassa ni chaguo la Mungu..... Haya yote ni makusudi ya Mungu
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!
Sasa ni wazi nguvu ya Lowassa inazidi kuonekana hasa baada ya leo kutinga katika ofisi za CUF....
Kama hali ndio kama hivi, je kesho itakuwaje atakapoenda kuchukua fomu katika ofisi za NEC. Ambapo msafara utaanzia katika ofisi hizo za CUF saa tatu kamili asubui....
More pictures zinakuja.
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!
CUF itaanza kupanuka Tanganyika nako baada ya Lipumba kujaribiwa na kuangukia mtegoni kwa ccm. Slaa ni kiboko yao, hategesheki kirahisi maana anawajua sana TISS ya ccm