Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
- Thread starter
-
- #21
Sitakuja kusahau mradi wa mapacha watatu (lowasa, kiwete na rostam) wa kuchichongea kampuni feki ya richmond ambayo haikuwa na fedha, ofisi, mitambo wala uzoefu. Kila siku walikuwa wanaikamua tanzania milioni 152. IMAGINE. Nasikia wasingeshitukiwa kwenye dili hii walikuwa mbioni kuunda kampuni km 20m feki ili kurudisha pesa walizokuwa wametumia wkt wa uchaguzi. Style ileile ealiyotumia kumuingiza kikwete wanataka kuitumia tena. ZILE KAMPUNI FEKI 20 AMBAZO ZILIFELI KUANZISHWA SASA ZITATUMIKA KUPORA UTAJIRI WA NCHI KM KWELI IKATOKEA lowasa jambazi sugu na fisadi papa akawa rais wa tz
Yesu alifufuka baada ya sku tatu tu.Lowasa imemchukua miaka...tusubiri!
nauli ya kutoka dar hadi songea shilingi ngapi?
Afya yake je?watu hawaangalii hilo,huyu mzee mbali ya kashfa hizo hayupo fit nasikia ukimwangalia ktk video za karibuni mkono unatetemeka sana na anafanya juhudi kubwa kuuficha!wanasema ni kama ugonjwa alokua nao sir alex ferguson,ameshaenda nje kwa matibabu mara kadhaa pia mpaka kwa TB joshua,je mzee anaumwa nini?isije kutokea ya rais wa zambia marehemu
Dah! sasa si uende kituo cha polisi ukatoe taarifa Lowassa ni jambazi sugu akamatwe..!?
Mkuu tunahitaji watu aina ya Lowasa, Familia zote na taasisi zenye maendeleo zina walezi wenye sifa tajwa hapo juu na si vinginevyo.Hakika hii nchi inamuhitaji EL
Hivi kumbe alikufa:what: sasa yule aliyetangaza safari ya matumaini jana Arusha alikuwa nani..!?
Samahani.., we ni nabii..? maana umetabiri kinabii!ninachojua mtu akifa huwa afufuki tena labda siku ya kiyama