Lazima tujifunze kutoka kwa nchi majirani na marafiki.Ikumbukwe Africa kusini walipo lazimisha kumpitisha Thabo Mbeki kwa mahaba upofu leo hii wanajuta kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kuwaua waafrika wenzao kisa walimweka mtu ambaye hakuwa safi na hakustahili kuwa hata mwenyekiti wa ANC.
Nasema hivyo kwa sababu kwa mara ya kwanza mtu wa aina ya mbeki tunaye leo hii Tanzania na anagombea urais, mtu huyu ambaye ndiye mwizi mkuu wa nchi hii,ndiye anaongoza kwa kuhonga mamilioni ya shilingi ila leo watanzania wanamshangilia na kumwona Mungu mtu.
Gazeti la Raia Tanzania leo limemtaja mbowe kuhamisha mamilioni ya shilingi nje ya nchi,mamilioni hayo yanahusishwa na kuhongwa na mgombea wake ndugu Lowassa, swali la kujiuliza ni halali kuhonga na kununua nafasi ya kugombea ili uingie Ikulu na kutuibia?
CHADEMA kuuza nafasi ya mgombea urais kwa mtu wanae jua kuwa walimtangaza kwa miaka minane kuwa ni mwizi?Je watanzania tuendelee kuwaamini akina mbowe na Tundu lisu ambao wamegeuka na kuwa vinyonga wenye ndimi mbili?
Watanzania inapaswa tujiulize uhalali wa Lowassa kuhonga malioni ya shilingi ili apewe nafasi ya kugombea ili hali anajua kuwa hajawahi kuwa msafi Tangu misingi ya taifa hii iwekwe.