Team mafidadi wanahangaika ili kujiokoa na jela ya Magufuli
Mwaka huu mtaisoma namba! LOWASSA ndio chaguo sahihi la watanzania, ahutubie asihutubie! Vipaumbele vyake watanzania tunavifahamu! Tutampa kura nyingi mpaka ulimwengu ushangae!!Kwani website ya chama imefungwa?
Mwaka huu mtaisoma namba! LOWASSA ndio chaguo sahihi la watanzania, ahutubie asihutubie! Vipaumbele vyake watanzania tunavifahamu! Tutampa kura nyingi mpaka ulimwengu ushangae!!
Team mafidadi wanahangaika ili kujiokoa na jela ya Magufuli
Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.
Kama uliangalia Taarifa ya habari ITV, LOWASSA aliongea, akasema kuwa miundombinu ya vyombo vya mawasiliano pale uwanjani havikuwa sawa! Unasemaje hakuongea, hata salamu?Sasa mbona anashindwa kuhutubia Chifu?..
Nini tatizo hasa?...Maana sababu alizotoa Lissu ni za hovyo kabisa...Yaani Lowassa ameshindwa hata kuwasalimu wananchi waliojitokeza kumuona Geita!!...
So sad!!...
Kama uliangalia Taarifa ya habari ITV, LOWASSA aliongea, akasema kuwa miundombinu ya vyombo vya mawasiliano pale uwanjani havikuwa sawa! Unasemaje hakuongea, hata salamu?
Wana GEITA wametuelewa na tutaenda tena kabla ya Kampeni kuisha!
Lowassa is the talk of the Nation and the Next Prezoo of TZ...mark my words..!
Najua mnataka kuzusha kuwa hakuweza kuhutubia kwa sababu ni mgonjwa! Sio kweli hata kidogo!!
Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.
Hii ya kushusha choppa awasalimie ni uongo mtakatifu....mahaba niueeeeeeeee
Utarudiwa lini?..