Lowassa ashauriwa asigombee urais

Duh......CCM kuna usemi anapenda kuutumia mwenyekiti wenu Taifa J.K..... ;Tunajenga Nyumba moja ya nini kugombea fito;
 


Kalipe kwanza laki 3 ya Dogo uliyomtapeli achana na Rais mtarajiwa we mwenyewe usikute maiti inayotembea maana jina ka Nyerere umelitumia vibaya we mpiga Plasta
 
Last edited by a moderator:
Malimwengu hayo.Hivi mnaogopa kivuli cha Lowassa kwa kumpaka paka matope,Je akinguruma kwa kuchukua form ya kugombea ?
 
kuna mgombea gani ndani ya ccm hajawahi kuumwa? rais mwenyewe juzi tu katoka kuumwa. hakuna alie kama malaika sote ni binadamu acheni kumchafua lowasa!
 

acha upumbavu wewe hakuna asiye umwa wewe hujawahi umwa? au umetumwa uandike ushenzi? rais wetu juzi tu katoka kutibiwa maana yy ni binadamu ka sisi! huna jipya hapo! kama lowasa mgonjwa mwache akatibiwe mungu akipenda atapona na mungu akipenda atakuwa mkuu wa nchi ni nani huwa haumwi? hiyo ni kawaida tu. acha siasa nyepesi na cheap popularity
 
Last edited by a moderator:

Aibu kubwa sana kwako Yeriko.
Sijui umejificha wapi siku hizi baada ya mihemko ya kisiasa kukulazimisha kumeza matapishi yako.
Staha na akiba ya maneno ni vitu vya muhimu sana.
 
Last edited by a moderator:

ni aibu iliyoje? Lowasa anapeta sio wale waanguka kifafa.
 
Duh nimegundua TeamLowasa ilikua Ccm naangechukua nchi hatakama angekua Ccm, haya mabadiliko wanayo imba porojo tu
 
Mbona sasa dialo hakujitokeza. Unafiki tu unamsumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…