LOWASSA: Arusha pagumu!

Wewe kweli huoni alama za nyakati, yeye anakiri kwa sababu kwanza anajiamini pili ni teyari ni baba wa wote yaani ndie President wa Tanzania 2015 hutaki hama nchi
Hakuna kuhama nchi.

Yeye ni Baba la mafisadi.

Anajiamini au amefunga utambuzi wa fikra zako umebaki kumuabudu wakati jitu lajulikana wazi ni jizi...!

Wabongo hadi mtu akupofue ndiyo uamini mbaya,kwa mbali huwezi kujihami...ni upuuzi tu!
 
Tatizo la Lowassa ni kutokuwa wazi anaitamani Chadema kwa kuwa hana uhakika na hatima CCM kwa hiyo yupo njia panda. Chadema iwe makini na watu wa aina hii ambao wanachotaka wao ni uongozi tuu kwa gharama yoyote ile na hicho ndicho kinachoitafuna CCM na virusi hivi vya tamaa ya uongozi vina dalili pia kwa viongozi wenye tamaa ya fedha kama akina Zitto ambaye mara kadhaa ameonyesha tamaa ya uongozi kwa kutaka kuwachafua wengine angalia sakata la BAVICHA.
 
2015 mbunge wa Arusha mjini atatoka CCM!Hutaki unaacha

kama kuna kitu dunia ya leo inaionea huruma na kuidharau tanzania nakuiheshimu hata kenya,rwanda,malawi,uganda na burundi zaidi ya tz ni uwepo katika nchi hii wa watu wenye fikra kama zako.
Wewe na wenzio wenye fikra na mtazamo kama wako ni mzigo mkubwa kwa maendeleo endelevu ya dunia,tz na familia yako.
Cha ajabu na cha kusikitisha zaidi ni kwamba ww mwenyewe hujijui.
Ni mtumwa uliyekubuhu,
pole sana rafiki.
 
Mie nimehoji na kuomba mtazamo wa Wana JF juu ya ukimya usio wa Kawaida wa vijana wa Lumumba hasa Ritz na @Nnape Nauye kutosema chochote juu ya sakata la sinema ya Lwakatare. Inamaanisha nini?

Ndo wahusika wakuu bila kumsahau Mwigulu, kwa sasa pressure imepanda kwani mda si mrefu kila kitu kitakuwa hadharani. Kinacho wasumbua wataficha wapi sura zao baada ya kila kitu kuwekwa hadharani?
 
Subutu! CCM ikisimamisha Lowassa na ndivyo ilivyo kwa un President 2015 ndio mwisho wa Chadema Arusha, haitapata hata kura moja achilia mbali diwani mmoja

bora ukose kila kitu upate ufahamu, sasa wewe inaonekana Mungu kakunyima kila kitu.!!
 
bora ukose kila kitu upate ufahamu, sasa wewe inaonekana Mungu kakunyima kila kitu.!!

Watu kama hao ndo hawa wanatutesa na hali mbaya maisha kwa miaka 10 ya kutmikishwa na mafisad. Natamani hawa wanaowaua mapadri wawaue hawa waco funguka macho na kupokea 5000/- na kofia hatimae twateseka wote.
 
Back
Top Bottom