Lowassa apewe CHADEMA aiongoze kuelekea 2020

Vipi zzk ameshindwa kupata angalau watu wa kumpigia ndogo ndogo akapata uenyekiti wa hata kamati ya kugawa chai na vitafunwa bungeni?
Unamuuliza nani!!
Viroba ktk ubora wake
 
Mimi Ni Kaharambee Kangu Hapa,namba Ya Fisadi Lowassa Tafadhali
 
Mbowe arudi kwny ukatibu uenyekt apewe Fisadi. Tuanze ku assess ubora wao
 
Hakika hii itakuwa hukumu sahihi kabisa. Hongera sana kwa kuweza kutufanya tufikirie nje ya boksi.
 
Zitto alisema kwa mdomo wake mwenyewe tena mbele ya vyombo vya habari kwamba atamwachia nafasi ya kiongozi wa chama mtu atakayeteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho lakini leo amegeuka NKURUNZINZA!
Zito na Lowasa wapi na wapi jamani...!!! Tubaki kwanza kwa CDM na Lowasa mkuu....!!!!
 
Hata mie namuheshimu sana Lula...!!! Lakini kama atalizingatia hilo uliloliandika nadhani atafuta kauli ya ushindi wa kiduchu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…