Lowassa apewe CHADEMA aiongoze kuelekea 2020

Mbowe atake asitake suala la kumuachia Lowasa chama halina mjadala kwa sababu mbona hata hivyo alishamkabidhi tangu mwaka jana? ? kulingana na watu wanavyozungumza
 
All in all....Lowasa in Mbowe out...for chairman.....Lowasa amedeliver.....Mbowe didnt
 
Unapo ongelea mtu ongelea mtu siyo kuweka ukabila wewe chizi
Fuatilia comment za niliyemnukuu...then u will realize y i did so....dont be so easy to take side........otherwise ur more lunatic than u can see others.....
 
Mwambieni na nkurunzinza ampishe mgwira
Mbowe kaongoza CDM miaka mingapi? ZZK kaongoza ACT miaka mingapi?........compare them and tell me nani anafaa kuitwa Nkurunzinza....Ndio maana tunamtaka Lowasa in his post......shida ipo wapi lowasa akiwa chairman?
 
Tanzania nzima ina Halmashauri ngapi?
 
Mbowe kaongoza CDM miaka mingapi? ZZK kaongoza ACT miaka mingapi?........compare them and tell me nani anafaa kuitwa Nkurunzinza....Ndio maana tunamtaka Lowasa in his post......shida ipo wapi lowasa akiwa chairman?
Hivi wewe unalinganisha uhai wa kisaccoss chenu cha mwandiga na taasisi cdm?huna aibu kweli wewe
 
Fuatilia comment za niliyemnukuu...then u will realize y i did so....dont be so easy to take side........otherwise ur more lunatic than u can see others.....
Ukabila hautokusaidia chchote kukuza kisaccoss chenu
 
Hivi wewe unalinganisha uhai wa kisaccoss chenu cha mwandiga na taasisi cdm?huna aibu kweli wewe
Jibu swali....Mbowe kaongoza CDM miaka mingapi? Zitto kaongoza ACT miaka mingapi? nani anafaa kuitwa Nkurunzinza?........Mbowe atake asitake lazima ampishe Lowasa.
 
All in all....Lowasa in Mbowe out...for chairman.....Lowasa amedeliver.....Mbowe didnt
Mtakesha mkiwanga na mbowe yupo tu kama atatoka ki demokrasia na wala siyo kwa chuki zenu za kimwandiga
 
Mbowe kaongoza CDM miaka mingapi? ZZK kaongoza ACT miaka mingapi?........compare them and tell me nani anafaa kuitwa Nkurunzinza....Ndio maana tunamtaka Lowasa in his post......shida ipo wapi lowasa akiwa chairman?
Inakuchoma nini wewe ongelea act yako na jinsi mlivyokosa uenyekiti pac
 
Mbowe atake asitake suala la kumuachia Lowasa chama halina mjadala kwa sababu mbona hata hivyo alishamkabidhi tangu mwaka jana? ? kulingana na watu wanavyozungumza
Mtahangaika sana mbowe yupo tu ndani ya cdm hutaki kajinyonge ufe
 
Ukabila hautokusaidia chchote kukuza kisaccoss chenu
I told u follow his comment...u will realize who started the battle of tribalism.....always i told u that ur level of thinking is too low.....ur psychatric level is expanding exponentially.........
 
Ongea tu kiha utaeleweka
 
Jibu swali....Mbowe kaongoza CDM miaka mingapi? Zitto kaongoza ACT miaka mingapi? nani anafaa kuitwa Nkurunzinza?........Mbowe atake asitake lazima ampishe Lowasa.
Wachana na taasisi kubwa cdm,nenda kahangaike na act yako yenye mbunge mmoja kama tochi ya mwindaji
 
Mtu hapewi uongozi kwa kuzawadiwa

Hilo tu linatosha kuitupa hiyo porojo yote kwenye dustbin

By the way .....Hebu mshauri Mwenyekiti wa WAHA akuze chama chenu asimwachie mama Mghwira
Unapanic na lipi!
MTU amesha inunua CDM
Mpeni
 
Wachana na taasisi kubwa cdm,nenda kahangaike na act yako yenye mbunge mmoja kama tochi ya mwindaji
Sawa....si kama NCCR tu.......vipi kuhusu NLD ( Ukawa) wana wabunge wangapi? au kwa kuwa chama kinatokea kusini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…