Lowassa aongezewe ulinzi

Kweli usiopingika lowasa ndye mkombozi wa taifa letu kwasasa kutoka kwa mafisadi ccm, anasitahili kulindwa kwa nguvu zote kwani hawa jamaa wamebanwa sio wakuamin hata kidogo...

ni kweli aisee nothing is more dangerous than a wounded animal!!!
 
hapa suala sio ulinzi tu ni kuwa makini kwa kila jambo,ukawa muwe macho kwa kila lifanywalo na hawa maccm,kwa sasa hivi wamehama ktk kumtangaza makufuli na kuhamia kutafuta mbinu ya kupambana na lowasa
 
Kwani kutokugombea urais ndo kunafanya mtu awe msafi? Mtu kwenda mahakamani haimaanishi mtuhumiwa ni guilty. Wazungu wanasema a suspect is innocent until proven guilty.
Kosa limefanyika 2009. Lilikuwa in cold storage. Limeletwa katika foreground Lowassa alipoanza vitisho vyake.kwenda on TV kuwatishia maisha watu milioni 40.
 
Ama kweli penye udhia penyeza lupia....yaani leo huyu Lowasa amekuwa lulu CHADEMA na amekuwa msafi kama theruji......wonders shall never end....
 
Ccm ni karibu sawa na shetani. Kama kungekuwa na cheo kikubwa zaidi ya shetani basi tungewapa hicho.
 
Kwanza nilazima ulimwe, kisha upuliziwe dawa nakupaliliwa ukisha maliza hapo tunakuvuna nakukuwekea dawa yakuku ifadhi, kisha tunakuchambuwa nakupeleka sampo tbs tayari kwa kibali cha mlaji. Sasa ikishindikana hapo lazima ukatwe tangu shambani. Kwa bwana Lowasa alikatwa tangu shambani baada yakujilikana yeye alikuwa ni uyoga wenye sumu kali katikati ya uyoga mzuri.


Umesoma agriculture mkuu
 
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.

huyo mtu anakwenda mahakamani kufanya nini na kwa ushahidi upi ambao ameshindwa kuutoa kwa zaidi ya miaka 8? Ngoja EL atinge mahakamani akamlipue JK na Richmond yake ukweli uwekwe hadharani kwa watanzania. Si wameamua kumwaga mboga? Tutaona nani mjanja kati ya EL na hayo maCCM yanayojidai kwenda mahakamani.
 
Ama kweli penye udhia penyeza lupia....yaani leo huyu Lowasa amekuwa lulu CHADEMA na amekuwa msafi kama theruji......wonders shall never end....

Hata mi nimebaki ninastaajabu sana. Hivi kweli hawa watu wanakaa na kujitathmini au wanafuata tu crowd mentality? It is becoming a little scary!
 
Ndugu zangu, maCCM hayaamiki kabisa...ni sawa na fisi mwenye njaa anayemfuata mtu nyuma akitegemea mkono udondoke apate kitoweo. Hawa mafisi ni wa kuwaogopa zaidi ya UKOMA!

 
Yule mlinzi mamluki tunataka tuteuwe mwingine

unataka useme huyu jamaa aliyesimama nyuma
ni mamluki kwa Lowasa..? katu siamini kama upo sahihi juu ya hili.
jamaa nnaona yupo na bosi wake kwenye shida na raha.

 
Ktk kile kinachoonekana kwamba safu ya washambuliaji wa CCM inapwaya pamoja na sintofahamu inayozidi kujitokeza ndani ya chama kotokana na kosa kubwa la kiufundi.
Lowasa ni striker mahiri ambaye alishajiandaa na ana uchu na kombe la ubingwa kitendo cha timu yake kumtosa kilimfanya aone kwamba hataweza kubeba kombe na hivyo kutimkia Ukawa.
Safu aliyoiacha inapwaya kwa sababu kuu mbili moja ni kwamba
1.kundi lake ni kubwa mno ndani ya chama kiasi kwamba kuaminiana kunapungua.
2.Ni kwamba kimkakati waliokua timu yake hawaaminiki kirahisi kama watakua watiifu au ni mamluki hasa baada ya yeye kuhama.
Kutokana na hayo yote ndio hapo ugumu unapoonekana wa kimkakati hasa ukizingatia umahiri wa lowasa ktk siasa za nchi hii na pia umahiri wake ktk kujijengea wafuasi.
Kama aliweza hahamasisha wadhamini laki nane ktk kipindi kifupi tutegemee ataweza pia kukusanya kura za kutosha muda ukifika.
Ni mawazo yangu kwamba timu yake haikujua kama ana uchu na kombe kiasi hiki wasingemuweka benchi hasa wakiangalia mchango wake na jinsi kiwango chake kilivyoimarika kuelekea mwisho wa msimu.
Pamoja na mambo mengine ameweza kuongeza sifa kubwa ya udhubutu na ujasiri, pia amedibitisha kuwa alipozungumzia "Maamuzi magumu" alimaanisha hivyo.
Ktk kipindi hiki ambapo kundi kubwa la watanzania wanataka mabadiliko yeye ameonyesha njia na kuwa inawezekana.
Ni katika mazingira haya ndio napata wazo kwamba huenda likawa kosa kubwa la kiufundi litakaloigarimu timu na kupoteza kombe ktk msimu huu.
Nawasilisha
 
Kosa limefanyika 2009. Lilikuwa in cold storage. Limeletwa katika foreground Lowassa alipoanza vitisho vyake.kwenda on TV kuwatishia maisha watu milioni 40.
Kaka yako kapigwa chini kwenye Uraisi hata upinzani hawataki mlevi kama yule mwambie size yake ni udiwani na kunywa gongo kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…