Lowassa anasafishwa!

Kosa la mzee Edward Ngoyai Lowassa ni UTENDAJI KAZI wake uliotukuka.
Hilo tu ndilo lililomponza.

wewe unajitekenya tu,utendaji upi wa lowasa wakuwa watu sumu? hata mungu hapeni mkono wake unanuka damu ,kamwe hawezi kuwa amri jeshi mkuu,
 
wewe unajitekenya tu,utendaji upi wa lowasa wakuwa watu sumu? hata mungu hapeni mkono wake unanuka damu ,kamwe hawezi kuwa amri jeshi mkuu,

Ajabu ni kwamba mimi najitekenya ila anayetekenyeka ni wewe!
Halafu kajifunze kuandika kwanza ndio uje kuniquote tena.
 
Si kila mtu ni msemaji/muongeaji wengine ni watekelezaji tu hawakurupuki na maneno vitendo ndiyo vinaongea

Tatizo la Lowassa si kwamba hajui kuongea la hasha kuongea hawezi kwa sababu ni mgonjwa.hata kama angekuwa mzima lini umesikia lowassa kaongea point ya maana zaidi ya pumba? Ikulu siyo wodi ya wagonjwa
 
Na ukirudi urudi Na ushahidi wa kutosha la sivyo .......
 
Mtu kuongea hawezi jamani watanzania tunakwenda wapi? Hivi mmechanganyikiwa au mbona siwaelewi mmekaa kama nyumbu wa Serengeti mnajiendea tu.

Unataka aonge nn au akutaje jina lako ndo utajua anaongea
 
Pigeni kelele zenu tu...ila LOWASSA lazima awe RAIS, kwani tunachagua msanii bongo fleva?
 
Tatizo la Lowassa si kwamba hajui kuongea la hasha kuongea hawezi kwa sababu ni mgonjwa.hata kama angekuwa mzima lini umesikia lowassa kaongea point ya maana zaidi ya pumba? Ikulu siyo wodi ya wagonjwa
robo tatu ya wanaccm wanamtaka lowassa awe rais.
 
wewe unajitekenya tu,utendaji upi wa lowasa wakuwa watu sumu? hata mungu hapeni mkono wake unanuka damu ,kamwe hawezi kuwa amri jeshi mkuu,
wanaosema lowassa ni mtendaji mzuri si wana ukawa peke yao bali hata wana ccm wenyewe. robo tatu, na zaidi, ya wanaccm wanaukubali uchapakaji kazi wa Legwanan
 
Lowasa amejisafisha vizuri maana amesema mwenye ushahidi wowote kwamba yeye Lowasa ni fisadi aende mahakamani, kama hakuna basi kimya kisikike acheni vuvuzela, shut up and keep quite
 
Lowasa amejisafisha vizuri maana amesema mwenye ushahidi wowote kwamba yeye Lowasa ni fisadi aende mahakamani, kama hakuna basi kimya kisikike acheni vuvuzela, shut up and keep quite
hawawezi kwenda kwani wakifanya hivyo watakuwa wanamchoma mtuhumiwa namba moja
 
Ukikatwa ccm unaenda chadema ukikatwa chadema unaenda act huko nako wakikukata unaenda wapi..? Hizi ndiyo siasa za bongo..Mungu ibariki afrika na ibarikie Tanzania kuvuka kwa Amani mwaka huu wa uchaguzi 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…