Aliibadilisha shule ya Mkwawa kuwa chuo kikuu nahisi hizo ni ajira elfu mbili mpaka sasa na ongezeko kwa kipeuo cha pili cha idadi hiyo kwa miaka kumi kwa kuzingatia ajira za watakaofundishwa na hao walimu. Lowasa anayo mazuri yanayoonekana aliyoyafanya jumlisha na nidhamu serikalini sio hii Hali ya ukambale tunayoiona sasaWakati EL akiwa Pm alifanya nini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira, ili awe na nguvu ya kuwasema wenzie katika hilo?
Kibanga Msese
Wakati EL akiwa Pm alifanya nini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira, ili awe na nguvu ya kuwasema wenzie katika hilo?
Kibanga Msese
Wakati EL akiwa Pm alifanya nini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira, ili awe na nguvu ya kuwasema wenzie katika hilo?
Kibanga Msese
lowasa 4 president.......yes yes yes yes
Wakati EL akiwa Pm alifanya nini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira, ili awe na nguvu ya kuwasema wenzie katika hilo?
Kibanga Msese
Lowasa anaongea hayo baada a kutoka ktk uwaziri mkuu hivi ktk kile kipindi kifupi alipokua waziri mkuu si alikua bize na richmond vijana hakuwaona kama bomu baadae leo ndio anahanyahanya na majanki!akae pembeni kichwa kilichosababisha matatizo aleyale ndio kipewe nafasi ya kutatua matatizo yaleyale!
Kwa nini uansema ''Lowassa for President?'' Kinachofuatia sasa hivi ni uchaguzi wa Uenyekiti wa CCM. Kwa husemi ''Lowassa for CCM Chairman?''
Kunyamaza ni kosaKweli Lowassa ananyamaza tu kwa ukomavu wake kisiasa na kielimu, ana mengi anayoyamezea kwa sasa