Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,486
- 2,660
Kifaa kuna taarifaa kitakuja 2025 maana 2020 ni ccm vs ccmMzee pumzika kuna kifaa chaja.
Utumbo wa mavi huu.Kifaa kuna taarifaa kitakuja 2025 maana 2020 ni ccm vs ccm
Huu ujinga huwa mnajifariji mkiwa na akili zenu au mkiwa mmelewa?Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh lowassa akienda ikulu, alienda ktk uzinduzi wa maktaba udsm, na leo kuna taarifa kamili kwamba yupo zanzibar kwa mwaliko wa katibu mkuu wa cuf mh maalim seif.
Kwa mlolongo wa matukio haya ni wazi mzee lowassa anajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020 kwa kutumia akili nyingi na saikolojia ya hali ya Juu, wakijakustuka itakua kumepambazuka ni asubuhi. Usimdharau mtu aliepata kura mil6 + za watanzania, inawezekana lowassa yupo mioyoni mwa watanzania wengi. Ukiangalia hali ya siasa kwa sasa ccm inahali mbaya Sana, sote tujiulizie ikitokea timu ya membe ikatoka ccm na kuungana na upinzani chini ya comredi lowassa unafikiri ccm itapona? Maana itakua ccm +act+cdm+cuf+nccr+nld+ Vs ccm awamu ya tano.
Ccm wamelala, wakistuka picha limekwisha wanaona ni fahari kudili na mbowe na viongozi wa chadema wamemsahau comredi anachanja mbuga mbere kwa mbere.
Huyo Lowassa atakuja na Tume yake ya uchaguzi?, na polisi je, na makolokolo mengine atayapata wapi? Hizi ndio kura za uhakika, achana na hiyo million 6+ ambazo ni takataka tu!Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh lowassa akienda ikulu, alienda ktk uzinduzi wa maktaba udsm, na leo kuna taarifa kamili kwamba yupo zanzibar kwa mwaliko wa katibu mkuu wa cuf mh maalim seif.
Kwa mlolongo wa matukio haya ni wazi mzee lowassa anajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020 kwa kutumia akili nyingi na saikolojia ya hali ya Juu, wakijakustuka itakua kumepambazuka ni asubuhi. Usimdharau mtu aliepata kura mil6 + za watanzania, inawezekana lowassa yupo mioyoni mwa watanzania wengi. Ukiangalia hali ya siasa kwa sasa ccm inahali mbaya Sana, sote tujiulizie ikitokea timu ya membe ikatoka ccm na kuungana na upinzani chini ya comredi lowassa unafikiri ccm itapona? Maana itakua ccm +act+cdm+cuf+nccr+nld+ Vs ccm awamu ya tano.
Ccm wamelala, wakistuka picha limekwisha wanaona ni fahari kudili na mbowe na viongozi wa chadema wamemsahau comredi anachanja mbuga mbere kwa mbere.
Duh! Nini kimekusukuma mkuu kuandika hivi?aisee natamani marehemu mtikila afufuke amuone lowassa anavyoendelea kunawiri
Lowassa kama twiga anaona mbali hakurupuki siasa anaijua tena siasa ambayo haina matusi. Lowassa na Membe wakiungana kutakuwa na mafuriko mengine makubwa kampeni zitanoga na machungu ya uchumi kudorora tutasahau kwa muda.Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh lowassa akienda ikulu, alienda ktk uzinduzi wa maktaba udsm, na leo kuna taarifa kamili kwamba yupo zanzibar kwa mwaliko wa katibu mkuu wa cuf mh maalim seif.
Kwa mlolongo wa matukio haya ni wazi mzee lowassa anajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020 kwa kutumia akili nyingi na saikolojia ya hali ya Juu, wakijakustuka itakua kumepambazuka ni asubuhi. Usimdharau mtu aliepata kura mil6 + za watanzania, inawezekana lowassa yupo mioyoni mwa watanzania wengi. Ukiangalia hali ya siasa kwa sasa ccm inahali mbaya Sana, sote tujiulizie ikitokea timu ya membe ikatoka ccm na kuungana na upinzani chini ya comredi lowassa unafikiri ccm itapona? Maana itakua ccm +act+cdm+cuf+nccr+nld+ Vs ccm awamu ya tano.
Ccm wamelala, wakistuka picha limekwisha wanaona ni fahari kudili na mbowe na viongozi wa chadema wamemsahau comredi anachanja mbuga mbere kwa mbere.
Lowassa kama twiga anaona mbali hakurupuki siasa anaijua tena siasa ambayo haina matusi. Lowassa na Membe wakiungana kutakuwa na mafuriko mengine makubwa kampeni zitanoga na machungu ya uchumi kudorora tutasahau kwa muda.
Mkuu huyu mtu lowassa sio wa kubeza ana mikakati ya kijasusi bila keleleDemokrasia
Tundu Lissu
Zitto
Lowassa tupa Kule, msanii...yupo na jiwe
He is a two headed serpent, so untrustworthy.Mkuu huyu mtu lowassa sio wa kubeza ana mikakati ya kijasusi bila kelele