Uchaguzi 2020 Lowassa anajipanga mbio za Urais 2020

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,424
2,587
Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee Lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh Lowassa akienda ikulu, alienda ktk uzinduzi wa maktaba UDSM, na leo kuna taarifa kamili kwamba yupo Zanzibar kwa mwaliko wa katibu mkuu wa CUF mh Maalim Seif.

Kwa mlolongo wa matukio haya ni wazi mzee Lowassa anajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020 kwa kutumia akili nyingi na saikolojia ya hali ya Juu, wakijakustuka itakua kumepambazuka ni asubuhi. Usimdharau mtu aliepata kura mil6 + za watanzania, inawezekana Lowassa yupo mioyoni mwa watanzania wengi. Ukiangalia hali ya siasa kwa sasa CCM inahali mbaya Sana, sote tujiulizie ikitokea timu ya Membe ikatoka CCM na kuungana na upinzani chini ya comredi Lowassa unafikiri CCM itapona? Maana itakua CCM +ACT+CDM+CUF+NCCR+NLD+ vs CCM awamu ya tano.

CCM wamelala, wakistuka picha limekwisha wanaona ni fahari kudili na Mbowe na viongozi wa CHADEMA wamemsahau comredi anachanja mbuga mbele kwa mbele.
 
Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh lowassa akienda ikulu, alienda ktk uzinduzi wa maktaba udsm, na leo kuna taarifa kamili kwamba yupo zanzibar kwa mwaliko wa katibu mkuu wa cuf mh maalim seif.

Kwa mlolongo wa matukio haya ni wazi mzee lowassa anajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020 kwa kutumia akili nyingi na saikolojia ya hali ya Juu, wakijakustuka itakua kumepambazuka ni asubuhi. Usimdharau mtu aliepata kura mil6 + za watanzania, inawezekana lowassa yupo mioyoni mwa watanzania wengi. Ukiangalia hali ya siasa kwa sasa ccm inahali mbaya Sana, sote tujiulizie ikitokea timu ya membe ikatoka ccm na kuungana na upinzani chini ya comredi lowassa unafikiri ccm itapona? Maana itakua ccm +act+cdm+cuf+nccr+nld+ Vs ccm awamu ya tano.

Ccm wamelala, wakistuka picha limekwisha wanaona ni fahari kudili na mbowe na viongozi wa chadema wamemsahau comredi anachanja mbuga mbere kwa mbere.
Huu ujinga huwa mnajifariji mkiwa na akili zenu au mkiwa mmelewa?
Tume ipi ya uchaguzi mnayoongelea?
 
Huyo Lowassa atakuja na Tume yake ya uchaguzi?, na polisi je, na makolokolo mengine atayapata wapi? Hizi ndio kura za uhakika, achana na hiyo million 6+ ambazo ni takataka tu!
 
''ndugu zangu huu ndo wakati wa kuitoa ccm madarakani, tukishindwa kuitoa ccm madarakani katika uchaguzi huu basi hatutaweza kamwe( labda baada ya miaka mingi tena ijayo)'' hayo ni maneno ya Frederick Sumaye wakati wa kampeni 2015
kama ccm ilishindwa kutoka kwa mtikisiko wa 2015 basi haitotoka tena labda yesu arudi
 
Ya marehem mtikila yanatimia huo ugonjwa unamsubua sana mzee lowasa hawezi acha kuwazia nafasi ya uraisi hili halina ubishi mzee hiyo nasafi kwa sasa sio yake aachie wenye nguvu wapambane
 
Hivi mnaendelea kuamini kwamba kuna siku CCM itatoka madaraka kwa kushindwa uchaguzi?

Ccm? Itoke madarakani kisa kura? CCM?
 
Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh lowassa akienda ikulu, alienda ktk uzinduzi wa maktaba udsm, na leo kuna taarifa kamili kwamba yupo zanzibar kwa mwaliko wa katibu mkuu wa cuf mh maalim seif.

Kwa mlolongo wa matukio haya ni wazi mzee lowassa anajipanga kwa ajili ya uchaguzi 2020 kwa kutumia akili nyingi na saikolojia ya hali ya Juu, wakijakustuka itakua kumepambazuka ni asubuhi. Usimdharau mtu aliepata kura mil6 + za watanzania, inawezekana lowassa yupo mioyoni mwa watanzania wengi. Ukiangalia hali ya siasa kwa sasa ccm inahali mbaya Sana, sote tujiulizie ikitokea timu ya membe ikatoka ccm na kuungana na upinzani chini ya comredi lowassa unafikiri ccm itapona? Maana itakua ccm +act+cdm+cuf+nccr+nld+ Vs ccm awamu ya tano.

Ccm wamelala, wakistuka picha limekwisha wanaona ni fahari kudili na mbowe na viongozi wa chadema wamemsahau comredi anachanja mbuga mbere kwa mbere.
Lowassa kama twiga anaona mbali hakurupuki siasa anaijua tena siasa ambayo haina matusi. Lowassa na Membe wakiungana kutakuwa na mafuriko mengine makubwa kampeni zitanoga na machungu ya uchumi kudorora tutasahau kwa muda.
 
Demokrasia

Tundu Lissu

Zitto

Lowassa tupa Kule, msanii...yupo na jiwe
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom