Ulitaka waseme nini?wameahidi elimu bure shele ya msingi hadi chuo kikuu,katiba mpya,kukuza uchumi na kufufua viwanda na kutengeza ajira,na mengine mengi tu sasa wewe ulitaka waseme kile hawataweza kutimiza?au ndio umezoea kulagaiwa na ccm kwa miaka 50 ahadi ni zile zile