Maistro 1
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 422
- 181
CHADEMA acheni maigizo mbona munaleta bongo movie kenywe siasa. "Siasa ni sayansi" Watu wote hao wanavutiwa na nini kwenye kampeni zenu. Mbona hatusikii sera na hoja zenye nguvu Lowassa mwenyewe tu hawezi kumaliza dk 10 akiongea. Ivi watu wote hao wanafuata "mchaka-mchaka, chinja! au serikali rafiki kwa mama-ntilie na boda-boda Au kuwa unganisha watanzania kitu ambacho Mwl.Nyerere alishafanya. Mbona hatuoni hoja zenye nguvu bali watu wanao punga mikono na wala hawapungi kwa kufurahia hoja bali kwa kuongozwa na alieye jukwani kwa wakati huo. Kampeni za namuna hii tumezizoea kuziona CCM. CHADEMA mume-copy na ku-paste toka CCM na mumekuwa wabovu kuliko hata hao CCM. CHADEMA mumeliwa, "Kweli Chadema mume-bugi man!" Hutuoni hoja kama za 2010 zilizotufanya tuwaze beyond our thinking capacity. Hiyo mchaka mchaka chinja anayoimba Lowassa kama alishndwa kuionyesha kwenye ofisi ya waziri mkuu angalau kwa mwaka mmoja tu ikawa mfano ataweza Tanzania nzima. Vijana pingeni huu ulaghai mkubwa..........!