Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

Sauti ya Rondo

Senior Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
127
Reaction score
226
Jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki.

Alipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja.

Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa.

Baada ya hapo Mhe. Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
 
jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki. Aalipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja. Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa. Baada ya hapo Mhe Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
Napenda sana huyu jamaa aje kuwa raisi wetu ila ndo hvyo cjui kma itawezekana.
 
lowassa haruhusiwi kutembea ama.... iweje useme anaidharau.... let safari ya matumain rock the country ,.. kifungo cha mangula kakisome upya.... lowassa 2015.
 
Jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki.

Alipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja.

Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa.

Baada ya hapo Mhe. Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
Sijaelewa ulitaka kuandika nini hasa! maana kichwa cha habari kilivyoandikwa haviendani na ufafanuzi wako labda hujamalizia taarifa yenyewe nakuomba ufanye hivyo. Kama ndo umekamilisha basi ni chuki zako dhidi ya Lowassa. Sioni ajabu kukutana na watu, sijasoma popote kufanya kampeni.
 
Huyu jamaaa anautafuta urais kwa hali na mali akiupata c tutajuta

Cdhani kama haya ndo malengo yake.Jamaa ametukanwa sasa, sasa anataka asafishe heshima yake, amejitahidi kujisafisha ila anakandamizwa, na ili afanikiwe ni lazima awe raisi.Akishakuwa raisi itambidi afanye mambo mengi makubwa ili wananchi warudishe heshima yake iliyopotea.Kwa kupitia hili nadhani atakuwa raisi bora
 
Huyu Lowasa habahatishi anafanya anachokijua na huyo ndiye atakayenyosha watz wamepinda sana
 
Mbona hujatuambia kama alienda toilet kudownload? usitoe taarifa nusu nusu bana.......
 
Jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki.

Alipofika hapo alilakiwa na Askofu Mkuu Baba Rwaichi na kuwa na mazungumzo naye kwa muda kama saa moja.

Walichoongelea haijulikani na watu waliokuwa karibu na kanisa wanahisi alikuja kuomba asaidiwe kwenye nia yake ya kugombea Urais mwaka kesho. Au wengine wanasema alileta bulungutu la fedha kwa askofu huyo kama mchango wake kwenye miradi ya kanisa.

Baada ya hapo Mhe. Lowassa aliondoka kuelekea airport akifuatana na kundi la wafanyabiashara wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waishio Mwanza, hadi airport na baadae kuondoka na Fastjet ya mchana.
Habari yako ingekuwa na maana zaidi kama ungeweka ni nini mangula alisema juu ya Lowasa
 
Mimi nina hasira na chuki kwa mleta uzi huyu! najua nikichangia tapigwa "ban"
 
Fikra hovu sana hizi.

Yaani Lowassa asifanya shughuli zake kisa Kamati ya Mangula?

Pole yako!
 
Tanzania ni nchi ambayo raia wake wako huru, kutoka eneo moja la nchi kwenda kwingine bila ya pingamizi lolote, kama havunji sheria ya nchi,na mh. EL kwenda huko ni haki yake,kama tatizo ni urais tusubiri mda ufike wote wanaoutaka watajieleza na wananchi, kwa uelewa wa mmoja mmoja wataamua ni nani amempendeza baada ya hapo mwenye kura nyingi ndo atakuwa raisi wetu na ataongoza waliomchagua na ambao hawakumchagua,hivyo si vyema kupakana matope na kukashifiana hata kama wewe haukubali sera za mwingine, kibaya zaidi watu wanafikia hatua ya kuombeana mabaya hii siyo maana halisi ya siasa,siasa ni kueleza kwanini unafaa ,kwanini unamkubari fulani na si fulani, na katika hilo unaweza ukajikuta unawakubali watu zaidi ya watatu kutokana na uimara wao, mfano mimi nikiacha mengine yote ambayo sina ushahidi nayo EL namkubali kwakuwa ni mtu wa maamuzi, haya ni maoni yangu siyo lazima yakufunge kutoa ya kwako
 
Lowassa ni Raia wa Tanzania kama walivyo wengine na ana haki ya kwenda popote ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano (The right to movement) haki hii inaweza kuondolewa na Rais kwa kutumia sheria iitwayo Detention Act, chama cha siasa hakiwezi kumpokonya mtu yeyote haki hii.
 
mkuu kwani alizuiliwa asitoke nje ya Dar es salaam
 
Lowassa anaandamwa aisee ingekua bila Mungu maneno tu ya watu yangemuua
 
Lowasa alienda Mwanza kutubu kwa Askofu anayemuamini atamfichia siri, Naona tumpe tu kura kama Dr. W. Slaa wa Ukweli hataweka jina maana wagomea wengine wa ccm waliobaki ni kama waliwahi kugongwa na pikipiki wakaangukia kichwa.
 
hebu tujuze wakati EL anakwenda kote huko ulikuwa unamfuatilia au ni habari za kuambiwa?na je unalipwa na nani?
 
Back
Top Bottom