OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wamepatwa na LowassaphobiaMzee tupa tupa lowassa mnamuogopea nn?!

Tupa Tupa naona leo kala maharage ya MbeyaWanafanya utafiti.
Au utafiti nao ni kampeni?
well said Mkuu.... Na kwa hakika hawezi kutoa uthibitisho huo zaidi ya kuleta majungu na fitina humu ndani...Kakojoe ulale. Ukitakiwa kuthibitisha mahakamani kuwa waliokuja kwako wametumwa na EL utasema nini? Unachoona na kusikia unapaswa kuchanganya na yakwako kama unazo
wapi Mkuu...huku kwetu wanapita lini?
Sasa ni dhahiri.Sasa ni wazi. Lowassa ameanza na anafanya kampeni za wazi za kuutaka Urais wa nchi hii.Nilikuwa nasikia na kuambiwa.Na kuona kwenye luninga akishawishiwa na yeye kushawishi. Sasa nimejionea.Nimejionea Lowassa akifanya kampeni za wazi.Nimejionea Lowassa akivunja Katiba,Kanuni na Taratibu za CCM. Nisiwachoshe sana,ni hivi:
Hapa Dar, Lowassa amemwaga vijana.Vijana hao,ambao hata mimi walinijia jana usiku wa saa moja, wana fomu maalum. Katika fomu hiyo,vijana wa Lowassa wanaorodhesha watanzania wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tanzania. Lengo la Viana hao ni kupata watanzania milioni tano wanaomuunga mkono Lowassa. Wanadai kuwa wakiipata idadi hiyo,Lowassa atakwenda Monduli na kutangaza nia ya kugombea Urais.
Kupitisha fomu na kuorodhesha watanzania ni kampeni za wazi. Ni kuvunja miiko ya CCM ya kiuchaguzi. Nilipombana kijana aliyekuja kwangu kama anafanya hayo kwa matakwa yake binafsi au la aliniambia: 'Mzee Lowassa ndiye anayeratibu mambo haya'. Viongozi wa chama myaone mambo haya na kuyafanyia kazi. Watanzania muwaone watu wa aina ya Lowassa na jinsi wanavyousaka Urais kwa udi na uvumba. Na muamue muda ukifika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Aione: Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye

kanda ya kati.wapi mkuu...
Bw unachosema ni sahihi kabisa nimekutana na kijana mmoja Bariadi kanishawishi nijaze,nikamwambia mie sio mwenyeji wa huku,ina sehemu ya jina kazi unayofanya,sahihi yako na namba ya simu!kambi hii haijiamini?