Lowassa anafanya kampeni za wazi

Lowassa anafanya kampeni za wazi

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Sasa ni dhahiri.Sasa ni wazi. Lowassa ameanza na anafanya kampeni za wazi za kuutaka Urais wa nchi hii.Nilikuwa nasikia na kuambiwa.Na kuona kwenye luninga akishawishiwa na yeye kushawishi. Sasa nimejionea.Nimejionea Lowassa akifanya kampeni za wazi.Nimejionea Lowassa akivunja Katiba,Kanuni na Taratibu za CCM. Nisiwachoshe sana,ni hivi:

Hapa Dar, Lowassa amemwaga vijana.Vijana hao,ambao hata mimi walinijia jana usiku wa saa moja, wana fomu maalum. Katika fomu hiyo,vijana wa Lowassa wanaorodhesha watanzania wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tanzania. Lengo la Viana hao ni kupata watanzania milioni tano wanaomuunga mkono Lowassa. Wanadai kuwa wakiipata idadi hiyo,Lowassa atakwenda Monduli na kutangaza nia ya kugombea Urais.

Kupitisha fomu na kuorodhesha watanzania ni kampeni za wazi. Ni kuvunja miiko ya CCM ya kiuchaguzi. Nilipombana kijana aliyekuja kwangu kama anafanya hayo kwa matakwa yake binafsi au la aliniambia: 'Mzee Lowassa ndiye anayeratibu mambo haya'. Viongozi wa chama myaone mambo haya na kuyafanyia kazi. Watanzania muwaone watu wa aina ya Lowassa na jinsi wanavyousaka Urais kwa udi na uvumba. Na muamue muda ukifika!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Aione: Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye
 
Kwani kujaza fomu ni kipiga kura? Kama kuna pesa chukueni pia ila kura ni siri zenu! Mm niko Arusha nimwone nani jaze hiyo fomu ila iambatane na bahasha.
 
Hahahaa Mpwa hao waliojibu hapo juu ni tone tu la hio Team nanihiiii, wanakuja, wapo wengi sana, ila nimefurahi kuwa UJUMBE umefika nawe huna hatia
 
Sasa ni dhahiri.Sasa ni wazi. Lowassa ameanza na anafanya kampeni za wazi za kuutaka Urais wa nchi hii.Nilikuwa nasikia na kuambiwa.Na kuona kwenye luninga akishawishiwa na yeye kushawishi. Sasa nimejionea.Nimejionea Lowassa akifanya kampeni za wazi.Nimejionea Lowassa akivunja Katiba,Kanuni na Taratibu za CCM. Nisiwachoshe sana,ni hivi:

Hapa Dar, Lowassa amemwaga vijana.Vijana hao,ambao hata mimi walinijia jana usiku wa saa moja, wana fomu maalum. Katika fomu hiyo,vijana wa Lowassa wanaorodhesha watanzania wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tanzania. Lengo la Viana hao ni kupata watanzania milioni tano wanaomuunga mkono Lowassa. Wanadai kuwa wakiipata idadi hiyo,Lowassa atakwenda Monduli na kutangaza nia ya kugombea Urais.

Kupitisha fomu na kuorodhesha watanzania ni kampeni za wazi. Ni kuvunja miiko ya CCM ya kiuchaguzi. Nilipombana kijana aliyekuja kwangu kama anafanya hayo kwa matakwa yake binafsi au la aliniambia: 'Mzee Lowassa ndiye anayeratibu mambo haya'. Viongozi wa chama myaone mambo haya na kuyafanyia kazi. Watanzania muwaone watu wa aina ya Lowassa na jinsi wanavyousaka Urais kwa udi na uvumba. Na muamue muda ukifika!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Aione: Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye

Embu nyie wana ccm wenzangu acheni umburula, uchaguzi ni Oct mpaka sasa hivi hamjaanza mchakato sasa mnataka nini? Mnataka watu wenye uchungu na hiki chama wakae kimya kwa sababu first family iko kimya? Mnataka Nchi iende UKAWA? Sijaona uongozi wa CCM ma kama huu. Hiki chama ni chetu sote, hii nchi ni yetu sote
 
Bw unachosema ni sahihi kabisa nimekutana na kijana mmoja Bariadi kanishawishi nijaze,nikamwambia mie sio mwenyeji wa huku,ina sehemu ya jina kazi unayofanya,sahihi yako na namba ya simu!kambi hii haijiamini?
 
Acheni hizo kila jambo kulitazama mtazamo hasi-mkatae mkubali EL ni rais we2 ajae
 
Zikowapi hizo tujaze siyeeeee,tunataka mabadiliko c haya ya serikali dhaifu iliyo madarakani
 
Sasa ni dhahiri.Sasa ni wazi. Lowassa ameanza na anafanya kampeni za wazi za kuutaka Urais wa nchi hii.Nilikuwa nasikia na kuambiwa.Na kuona kwenye luninga akishawishiwa na yeye kushawishi. Sasa nimejionea.Nimejionea Lowassa akifanya kampeni za wazi.Nimejionea Lowassa akivunja Katiba,Kanuni na Taratibu za CCM. Nisiwachoshe sana,ni hivi:

Hapa Dar, Lowassa amemwaga vijana.Vijana hao,ambao hata mimi walinijia jana usiku wa saa moja, wana fomu maalum. Katika fomu hiyo,vijana wa Lowassa wanaorodhesha watanzania wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tanzania. Lengo la Viana hao ni kupata watanzania milioni tano wanaomuunga mkono Lowassa. Wanadai kuwa wakiipata idadi hiyo,Lowassa atakwenda Monduli na kutangaza nia ya kugombea Urais.

Kupitisha fomu na kuorodhesha watanzania ni kampeni za wazi. Ni kuvunja miiko ya CCM ya kiuchaguzi. Nilipombana kijana aliyekuja kwangu kama anafanya hayo kwa matakwa yake binafsi au la aliniambia: 'Mzee Lowassa ndiye anayeratibu mambo haya'. Viongozi wa chama myaone mambo haya na kuyafanyia kazi. Watanzania muwaone watu wa aina ya Lowassa na jinsi wanavyousaka Urais kwa udi na uvumba. Na muamue muda ukifika!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Aione: Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye
Kakojoe ulale bwa bwa !
 
Umetumwa na nani anakulipa kusambaza siasa za majitaka
 
Kweli Tanzania kuna viwanda vya kutengeneza uongo........ kwaiyo kuona hizo fomu ndiyo tafsiri yako ya kampeni.....
 
Back
Top Bottom