Lowassa anaendelea kujaza Mafuriko

Elimu kweli inatakiwa huoni kuwa hilo ni gari la mziki sema watu wamelidandia tu angalia vizuri hizo speakers
 
Mtakojoa mwaka huu hapo bado watu wengi wamepanga kwenda saa kumi
 

Acha kupotosha ww.
Mbowe aloposimama alisema,anakiuka itifaki na wanamkaribisha mgombea Lowassa ili aongee na watanzania na dunia maana matangazo yalikuwa yanarushwa live, na makubaliano ya UKAWA na vyombo vya habari ni kurusha matangazo ya moja kwa moja hadi saa10:00 jion.

Ndio maana ilipofika saa10:00 kamili matangazo kupitia ITV na baadhi ya tv stations walikata matangazo na kujiunga na matangazo ya moja kwa moja kutoka mwanza (kwenye kampeni za CCM)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…