mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Kitu pekee cha ziada alichonacho ni Kuwa anayajua majizi yote huko ccm na ana uwezo wa kuwasweka ndani.hivi huyu mtu ana kipi hasa...naona kuna nguvu kubwa sana inatumika dhidi yake ..tumeambiwa ni fisadi lakini fisadi huyo huyo anapendwa na wananchi ....nguvu ya kununua viongozi wa upinzani nayo haiko nyuma....lakini kila linalofanyika kwake ni kama linampaisha badala ya kumshusha..ninachokiona ccm ishachokwa hata kifanyike kitu gani huyu mtu hazuiliki
umesahau kitu kimoja.Lowasa ana Nguvu kuliko serikali yoyote iliyowahi kuundwa na ccmLowasa anayomengi tu mfano ufisadi,rushwa,mpiga dili na muigizaji wa siasa.
Lowasa anayomengi tu mfano ufisadi,rushwa,mpiga dili na muigizaji wa siasa.
Lowassa ni kama Obama. Wote wana nyota ya MBWA
hivi huyu mtu ana kipi hasa...naona kuna nguvu kubwa sana inatumika dhidi yake ..tumeambiwa ni fisadi lakini fisadi huyo huyo anapendwa na wananchi ....nguvu ya kununua viongozi wa upinzani nayo haiko nyuma....lakini kila linalofanyika kwake ni kama linampaisha badala ya kumshusha..ninachokiona ccm ishachokwa hata kifanyike kitu gani huyu mtu hazuiliki
Pamoja na misifa yote hii uliyommiminia, imagine sasa angekuwa na charisma japo kidogo kama Obama. Haki ya nani uchaguzi ungefutwa tu akatangazwa moja kwa moja kuwa prezida. Sasa hivi yupo yupo tu kama zombie lakini bado anapendwa.dada yake kasema hii nguvu mnaona ako nayo haijaanzia Jangwani juzi alivofunga Morogoro Road isipitike, alikuwa nayo tangu kuzaliwa; the guys ako na Nyota ya Kifalme yaani lazima umpende tu hata uwe na chuki vipi.