Umependa kuchokoza mtuunajichekesha utafikiri mtama kwa wakubwa.
swissme
Huyu sio mnafiki km wale bosi zakoJamaa kwa kuiga iga! Duh. Alikuwa wapi kabla??
vipi upo mwanza...?Namuombea kila la Kheri Mpambanaji huyu Maalim Seif. Honestly, huyu kwangu ni Shujaa wa Upinzani.Napenda misimamo yake na anavyosimamia kile anachoamini hasa kuhusu haki za Wazanzibari.Ni mpambanaji asiyechoka
Wapi wewe kauze gongo rombo vp 30 ajambo😉😉😉Namuombea kila la Kheri Mpambanaji huyu Maalim Seif. Honestly, huyu kwangu ni Shujaa wa Upinzani.Napenda misimamo yake na anavyosimamia kile anachoamini hasa kuhusu haki za Wazanzibari.Ni mpambanaji asiyechoka
Kutoka Fisadi papa hadi nuru ya tanzania 😀😀View attachment 329011
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, leo Machi 11, 2016 amemtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, MMaalim Seif Sharif Hamad kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
View attachment 329012
Maalim Seif kwa sasa anajipumzisha kwenye Hoteli hiyo baada ya kupata nafuu kufuatia kulzazwa kwenye Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam siku tatu zilizopita baada ya kuugua wakati anasafiri kutoka Zanzibar kuja Dar.
View attachment 329014
Daah watu wachokozivipi upo mwanza...?
Mkuu makala yako ya " Mfumo unadhamini ufisadi" umeiandika kwa ueledi mkubwa.....Namuombea kila la Kheri Mpambanaji huyu Maalim Seif. Honestly, huyu kwangu ni Shujaa wa Upinzani.Napenda misimamo yake na anavyosimamia kile anachoamini hasa kuhusu haki za Wazanzibari.Ni mpambanaji asiyechoka
Kwani wew kinakuuma nini akitaja CDM, acha ubwabwa, kwani hujui 70% ya watanzania ni CDMMkuu makala yako ya " Mfumo unadhamini ufisadi" umeiandika kwa ueledi mkubwa.....
Ila kwani huwezi andika makala bila kuitaja CDM? Mbona mtatiro akiandika makala anakuwa huru sana?