Lowassa amtaka Zitto UKAWA


hapo kwenye namba 10 kwa upande wangu naona umeshakaribia kugusa kivuli cha Lowassa.
 
Lowassa amtaka Zitto kujiunga UKAWA ili mpambano uwe kati yake na Magufuli.

Mazungumzo Makali yanaendelea namna gani ya kumjumuisha Zitto.

Chanzo: Magazeti ya Leo na Jana RAIA mwema

Hivyo ndivyo watu wote wanaojua siasa, wanavyopasa kufanya, ZZK ni jembe, EL anajua, kama Chadema ni kweli inahitaji kuingia ikulu kwa dhati, ni lazima ikubali ku employ na ku deploy silaha zote za maangangamizi, Zitto ni LPG, RPG, SMG, AK 47 na Katiwisha!.

Watu wanasahau tofauti zao, wanaungana against a common enemy, wakiisha shinda ndipo wana work modalities za working together!.

Pasco
 

Mkuu Pasco naona zile ndoto zako zakutaka majembe wote wawe pamoja zimetimia hapatoshi j3
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAFA, lets put our fingers crossed, ili hili liwalo liwe!, nchi hii inahitaji ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania!.

Pasco

Daaaah hauko peke yako mkuu ni kipindi cha dua hiki kwa sana kama kweli unabii utatimia
 
chama cha zitto ni ccm b sio chama cha ukombozi wa hii inchi
 

kura milioni 1? muongo wewe. lakini wazo la lowasa ni zuri. nampenda sana huyu fisadi mstaafu.
 
Wabongo mabingwa wa fununu na tetesi. ENL hadi sasa hakuna eliye na ushahidi japo wa sauti au picha wa kuthibitisha all this craziness
 
Wengne tayari wameisha panga nani ni nani katika serikali mpya. Let's not underestimate the enemy yaani ccm. JPM is also a force to reckon with. Kwa kifupi tuwe realistic kisaikolojia.
 
Zitto kama kweli anasimama katika misingi hawezi kujiunga na lowasa. Pia nadhani hana haka ya kupupia madaraka wakati ujao ndiyo nafasi yake ya uongozi wa nchi hii kwa sasa anatakiwa kukijenga chama huku akionyesha misingi ili wakati ukifika asimamie vizuri rasirimal za taifa
 
kura milioni 1? muongo wewe. lakini wazo la lowasa ni zuri. nampenda sana huyu fisadi mstaafu.

Mkoa wa Kigoma una population ya zaidi ya Million 2, hivyo wapiga kura bila shaka watakuwa walau nusu ya hao,Million 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…